mtanzania asiye jielewa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 179
- 98
Siku siku hiyo tulikuwa kwenye lindo la ulinzi shirikishi .
Maeneo ya nyamatale Musoma mjini
Ili kuwa uziku wa SAA nane
Tulifika sehemu tukamuona MTU mmoja anachungulia kwenye geti la nyumba mmoja hivi kwenye Mtaa wetu.
Basi tukajigawa makundi matatu Mimi na wenzangu wewili tukaanza kutambaa kwenye maua mimi nilikuwa nimetangulia nilipokaribia lile eneo ikabidi nisimame kumbe pale nilipokuwa walikuwepo wengine kama watatu hivi.
Ebwanae jambazi mmoja alichomoka akanitandika kibao mpaka nikaanguka chini
Huku nikisema mama nakufaa na kufaa wenzangu wote wakatimua mbio nipoamka nilikula mita ni hakuna mchezo
Toka siku hiyo, Kazi ya ulinzi shirikishi sijawahi kufanya