Vyuo vilivyofungiwa kuchukua MD mwaka huu

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,346
Reaction score
21,244
Nimesikia ni Udom....Suza...St Francis.....Imtu NA Udsm naomba ufafanuzi sababu ni IPI ya kuvifungia hivyo vyuo?
 
Udsm hakijafungiwa.
Vilivyobakia kati ya ulivyovitaja vimefungiwa, Sababu ya kufungiwa kwayo haijatajwa. Kwahiyo tosheka na hapo kuwa vimefungiwa tu.
 
Me nipo Udsm nachukua degree ya MD na chuo hakijafungiwa, kwa vyuo vngne nadhan ni kwa sababu ya kupunguza kuwepo kwa idadi kubwa y madaktari bcaz kwa vyuo vyte wahitimu wanaongezeka kiasi cha serikali kushindwa kuaccomodate feza za internship, kwa anaetaka kujua chchte kuhsu md udsm, ur welcom
 
Ni vema kama unadhani lakini hiyo haiwezi kuwa sababu

Serikali bado inahitaji medical personnels wengi.Pesa ya internship ni kama mshahara tu sasa kwanini serikali ishindwe kulipa mishahara

Nadhani kuna mapungufu ya kitaalam wameoyaona hivyo wameona watumie huu mwaka warekebishe
 
Nimesikia ni Udom....Suza...St Francis.....Imtu NA Udsm naomba ufafanuzi sababu ni IPI ya kuvifungia hivyo vyuo?
Kwanini mmekuwa wavivu sana wa kusoma hadi mnatia aibu sana? Kwanini unajipotosha? Ni wapi kuna Udsm
uploadfromtaptalk1469268909283.png
 
Me nipo Udsm nachukua degree ya MD na chuo hakijafungiwa, kwa vyuo vngne nadhan ni kwa sababu ya kupunguza kuwepo kwa idadi kubwa y madaktari bcaz kwa vyuo vyte wahitimu wanaongezeka kiasi cha serikali kushindwa kuaccomodate feza za internship, kwa anaetaka kujua chchte kuhsu md udsm, ur welcom
degree ya MD [emoji15] [emoji15] [emoji15]
sijaelewa doctor
 
Ulitaka watu waendelee kusoma ilihali kuna kasoro kibao?
Ilipaswa kushirikiana nao kurekebisha kasoro hizo, au huyaoni mafanikio baada ya kuishirikisha jamii kwenye ujenzi wa maabara kote nchini na zoezi la madawati
 
Upuuzi wa ndalichako mbeleni tutaona uchafu wake
Usingee kitu km huna proof dude!! Udom wanasoma udaktari lkn hakuna hospitali nearby..kufanya practice za "cadavva" tu ni ishu..kwa upeo wako unahisi hiki chuo kina iwezo wa kutengeneza COMPITENT DOCTORS!?? jibu ni NO..so STHU and letthem do their job..
 
Back
Top Bottom