Niko njia panda, niende UDSM au DIT?

Niko njia panda, niende UDSM au DIT?

Nenda UDSM. Siku hizi DIT hakuna practical yoyote zaidi ya "kumeza" na kuingia na "juche" kwenye mtihani.
 
Kwa mtazamo hasi na kma unapoint nzuri chagua udsm mana pale kunaushindani mkubwa hivyo itakujenga kuwa bora. Usidanganywe na dit ukazani kuna elimu kwa vitendo hilo sikuhizi halipo kutokana na kuwa na idadi kubwa ya watu. Hivyo nenda udsm ili utanue wigo wako
Acha porojo wewe, vifaa vipo vya kutosha na kubaki
 
Mkuu vipiii na mwenye division one ya 9yanii Math..C physic.C na chemistry C..na o lvl alkwa na one ya kumi na NNE anawza chagulwa udsm kusoma electrical
Hizo maksi, huwezi chaguliwa UDsm, labda uende saut mwanza ukasome BBA big brother Albert mangwea, au DIT fundi mchundo.
 
Nenda UDSM. Siku hizi DIT hakuna practical yoyote zaidi ya "kumeza" na kuingia na "juche" kwenye mtihani.
Acha kupotosha mwenzio ni chuo kipi kinachomruhusu mwanafunzi kuingia na Juche?
2. Umesema wanameza Vitini, Hayo majuche anaingia nayo ya nini au huelewi maana ya kumeza Vitini?
3.Nani alikuambia DIT hakuna practical wakati kuna Labs na Vifaa Vipya?
 
Kwa mtazamo hasi na kma unapoint nzuri chagua udsm mana pale kunaushindani mkubwa hivyo itakujenga kuwa bora. Usidanganywe na dit ukazani kuna elimu kwa vitendo hilo sikuhizi halipo kutokana na kuwa na idadi kubwa ya watu. Hivyo nenda udsm ili utanue wigo wako
Acha kupotosha uma, DIT wanatoa mafunzo kwa vitendo hadi kunamitihani mingine ni full practical, kama unabisha nenda ukaulize
 
Nenda UDSM. Siku hizi DIT hakuna practical yoyote zaidi ya "kumeza" na kuingia na "juche" kwenye mtihani.
Dit ukiwa mzembe utaishia kukariri vitin na unatoka empty
Kama unasubir ufanyishwe practical undergraduate mzima pole sana
Watoto wa diploma tu watakukimbiza
 
Nimekutana na graduates zaidi ya 10 wa UDSM na DIT, wote ni wabovu tu, ila angalau UDSM wana uafadhali.
Nenda tu chuo kikuu cha taifa kitakufungulia opportunities nyingi hapo mbeleni, unaweza kuja kuhitaji kupiga Masters au PhD uko baadaye nchi hata za nje, tokea UDSM itakurahisishia mchomoko, kuangalia unachogain kutoka sehemu hizi mbili wote wako more or less the same. Hii choice ni no brainer kabisa, sioni hata kwa nini unachukua muda kufikiria twice.
 
Wew ni graduate wa chuo gani?
 
Karibu CoET dogo humu ndani watu wamejaa chuki binafsi juu ya chuo mama
 
Nenda UDSM. Siku hizi DIT hakuna practical yoyote zaidi ya "kumeza" na kuingia na "juche" kwenye mtihani.
Inategemea na MTU, kama in mzembe utafanya hivyo, lakini kama unajielewa utatoka DIT vzuri.
Kama hujielewi in shida.
 
DIT ni Ni watendaji Na Udsm ni Academic ,ud utaapanua sana wigo sana wa field yako
 
Back
Top Bottom