Recent content by house girl

  1. house girl

    JamiiForums Tanzania Mume wangu haniridhishi ktk tendo la ndoa.

    Nani amewahi kukuridhisha?
  2. house girl

    JamiiForums Tanzania Inasemekana Ivan the Don hajafa

    Kama tungekuwa tumajadili hivi ishue za uchumi tungekuwa mbali watanzania wenzangu,
  3. house girl

    JamiiForums Tanzania Kimtokacho mtu kinywani ndicho Kiujazacho Moyo wake. Wa Tz tubadilike

    Unaonekana unaichukia sana CCM pole sana, nchi kubarikiwa kila MTU anawajibu ,Fanya party yako acha kulalamika
  4. house girl

    JamiiForums Tanzania Mke sijui Salary yake anafanyia nini?

    Kwa wanaume wote humu , mazoea hujenga tabia, ulivyo mzoesha mkeo toka mlipokua kwenye relationship mpaka mkaingia kwa ndoa ndio hayo matokeo yake, unakuwa huwezi kumwambia mapungufu mwenzio mpaka inakuwa tabia yake ,muzoeshe kuwa responsible kwa vitu vidogovidogo atazoea tu
  5. house girl

    JamiiForums Tanzania Kirusi cha rasilimali zetu ni upinzani

    Hujajua humu ndani wamejaa watoto siku hizi, hata hicho ulichoandika inawezekana hajakielewa
  6. house girl

    JamiiForums Tanzania Bongo movie walikosea hapa

    Kwa hiyo isingekuwa wameingia kwenye siasa ungenunua hizo bongo movie, na sio bidhaa kuwa mbaya, jamani hii ni Tanzania yetu mi naona ishue ni movie kuwa chini ya kiwango, ni kueleweshana,
  7. house girl

    JamiiForums Tanzania Eh! kumbe madaktari mshahara kiduchu hivi!

    Mmh
  8. house girl

    JamiiForums Tanzania Hili linaniacha hoi juu ya wanawake wa dar

    Vigodoro vinatusaidia
  9. house girl

    JamiiForums Tanzania Confession - Nilivyotembea na mke wa mtu

    Unaona sifa
  10. house girl

    JamiiForums Tanzania Inauma sana kumpenda mtu asiyekupenda

    In this life you will force everything around you to workout but never human
  11. house girl

    JamiiForums Tanzania Unyonyeshaji bora wa maziwa ya mama na maziwa mbadala iwapo ni lazima

    Sioni ajabu kunyonyesha mbele ya watu kama mtoto analia na nimejalibu kumtuliza hatulii jamani acheni uzungu inamaana kama mtoto nimetoka nae hospital na nimepanda daladala nisimnyonyeshe mpaka nifike nyumbani?
  12. house girl

    JamiiForums Tanzania Nawachukia Traffic wa Tanzania

    Mi nadhani sio wote, ila pia nature ya kazi yao kusimama siku nzima sio mchezo halafu anamsimamisha mtu anamjibu vibaya so utakuta wengine wanaofuata, lazima tayari atakua na hasira
  13. house girl

    JamiiForums Tanzania CCM ni ile ile na wanachelewa sana kuelewa

    Ccm mbele Kwa mbele....
  14. house girl

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi atekwa huko moshi na kufanyishwa ngono kwa siku nne...!!

    Mbona kama anacheza na mic uwiiiiiiiii mtoto wangu atapona kweli
  15. house girl

    JamiiForums Tanzania Special kwa Wanawake: Dalili za mwanaume anayekupenda kwa Dhati

    Tunasoma sanaa
Back
Top Bottom