Kirusi cha rasilimali zetu ni upinzani

Kirusi cha rasilimali zetu ni upinzani

Inaweza kuwa kweli hayo unayosema ila kuanza kufuatilia siasa miaka 45 iliyopita haikupi haki ya kuhukumu kwa KUSIKIA mkuu.
Basi sawa, what makes Tom happy is not so to Jerry, acha Mimi niendelee kusikia Mkuu..
 
KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU NI UPINZANI

Kumbe nimegundua maendeleo yetu yanaponzwa na upinzani. Leo hii wamegeuka kuwa watetezi wa wawekezaji. Naanza kuelewa kwa nini akina LOWASSA walituibia sana hii nchi badae wapinzani wakawapokea na kuwatetea.

Wanachokifanya ni kuhongwa Pesa nyingi na kuanza kutetea upumbavu. Mfano thabiti ni sakata la LOWASSA kwenda CHADEMA.

Na hapa kwenye rasilimali zetu hizi tuweni makini na hawa watu. Washaanza kutengeneza ripoti zao za mtaani ambazo hazijulikani utafiti wake umefanywa wapi na kuanza kuziamini na kupuuza ripoti ya Prof. Mruma.

KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU KWA SASA NI UPINZANI. WAO WANAONA NI MUDA MWAFAKA WA KUCHUKUA PESA NA KUTETEA UOVU. NI TABIA ILIYOPO VYAMA VYA UPINZANI KUPOKEA RUSHWA NA KUTETEA WIZI. MFANO THABITI NI KWA LOWASSA.
kweli, wapinzani ndo walisaini mikataba ya kinyonyaji na mwekezaji alafu wanamsingizia mkapa na mtemi chenge. pia ndo walipitisha bungeni sheria mbovu ya madini kwa kura nyingi za ndioooooo
 
huwezi kuelewa akili kubwa anayesemwa hapo ni yele jaa yetu kutoka kwa nchale, samaki nchanga
Achana nae Mkuu, huyu wakati Mr. Fupi kipara anatawala yeye alikua hajazaliwa bado.. Hawa Ni wa kizazi cha Aslay kipindi cha Jakaya.
 
Mkuu, uchizi huanza hivi hivi. Kama nchi bado inao watu wa aina ya huyo dudumizi uliyemjibu, kazi tunayo kama taifa.
naanza kukubaliana na kenyata aliyomwambia nyerere kuwa anaongoza maiti ihali yeye anaongoza wagonjwa. hivi tz bado mitu mijinga kama mleta post, alafu eti ndo tupambane mababepari?? kwa aina ya watu tulio nao ni haki yao wazungu wachukue bure hayo madini
 
Sasa kama nchi yetu, madini yetu, kwa faida yetu,.... Kwa nini mikataba iwe siri???? Mnamficha nani????

Kwa nini iwe siri??? Enyi CCM na serikali yenu mnamficha nani????
 
Tigo na vifurushi vyao wanatusababishia taaabu sana humu jukwaani, hasa kama anachotumia huyu mleta mada cha '' jaza ujazwe '
 
KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU NI UPINZANI

Kumbe nimegundua maendeleo yetu yanaponzwa na upinzani. Leo hii wamegeuka kuwa watetezi wa wawekezaji. Naanza kuelewa kwa nini akina LOWASSA walituibia sana hii nchi badae wapinzani wakawapokea na kuwatetea.

Wanachokifanya ni kuhongwa Pesa nyingi na kuanza kutetea upumbavu. Mfano thabiti ni sakata la LOWASSA kwenda CHADEMA.

Na hapa kwenye rasilimali zetu hizi tuweni makini na hawa watu. Washaanza kutengeneza ripoti zao za mtaani ambazo hazijulikani utafiti wake umefanywa wapi na kuanza kuziamini na kupuuza ripoti ya Prof. Mruma.

KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU KWA SASA NI UPINZANI. WAO WANAONA NI MUDA MWAFAKA WA KUCHUKUA PESA NA KUTETEA UOVU. NI TABIA ILIYOPO VYAMA VYA UPINZANI KUPOKEA RUSHWA NA KUTETEA WIZI. MFANO THABITI NI KWA LOWASSA.
Wewe Mwehu unawajua walioingia mikataba ya kimangungo? Lowassa yumo? Alievunja mkataba wa City water na Richmond ni nani kama siyo Lowassa? Uliza akina Chenge, Rutabanzibwa, Mkapa el ni akina nani kabla ya kunya hapa jukwaani .... Yes namuunga mkono JPM lakini waliotuingiza hapa ni CCM ya Mkapa ...
 
Mkuu upinzani ndio walisaini hiyo mikataba mibovu???Huyo fisadi mnayemtaja mbona hamumshitaki wakati mahakama ya mafisadi ipo??Baada ya kutoka lowasa vp mikataba mibovu na ufisadi umeendelea Symbions,Iptl,Tegeta escrow,Mv magogon
kaka umetoa majibu yenye maswali mubashara kwa mtoa mada, aje atoe ufafanuzi tafadhali.
 
KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU NI UPINZANI

Kumbe nimegundua maendeleo yetu yanaponzwa na upinzani. Leo hii wamegeuka kuwa watetezi wa wawekezaji. Naanza kuelewa kwa nini akina LOWASSA walituibia sana hii nchi badae wapinzani wakawapokea na kuwatetea.

Wanachokifanya ni kuhongwa Pesa nyingi na kuanza kutetea upumbavu. Mfano thabiti ni sakata la LOWASSA kwenda CHADEMA.

Na hapa kwenye rasilimali zetu hizi tuweni makini na hawa watu. Washaanza kutengeneza ripoti zao za mtaani ambazo hazijulikani utafiti wake umefanywa wapi na kuanza kuziamini na kupuuza ripoti ya Prof. Mruma.

KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU KWA SASA NI UPINZANI. WAO WANAONA NI MUDA MWAFAKA WA KUCHUKUA PESA NA KUTETEA UOVU. NI TABIA ILIYOPO VYAMA VYA UPINZANI KUPOKEA RUSHWA NA KUTETEA WIZI. MFANO THABITI NI KWA LOWASSA.

Msikilize huyu hapa down anavyo drawn
Polepole aulizwa: Je, CCM inakiri kuwa ndiyo imetuangusha kama Taifa kwa mikataba mibovu ya madini?
 
Mkuu;
Simpendi Lipumba ila usimwonee. Hawezi kuwa na upungufu wa akili kama huyu. Asingeliweza kuwatumia mapoliccm kuingia ofisi ya CUF na kuitawala hadi leo.
Huyu ni taayahiraa kabisa kabisa
Yap!! Ni kweli kabisa lipumba ni mpuuzi japo upuuzi wake ana ufanya kwa manufaa.. Ila huyu ni mpuuzi square kana kwamba upuuzi wake ni infinite kwa sababu hichi anachofanya na uhakika hakimuingizi ugali kama lipumba zaidi ya kuambulia lugha za matusi tu hapa jukwaani.
 
Mwenye Enzi Mungu atuongoze milele yote!
 
Wewe Mwehu unawajua walioingia mikataba ya kimangungo? Lowassa yumo? Alievunja mkataba wa City water na Richmond ni nani kama siyo Lowassa? Uliza akina Chenge, Rutabanzibwa, Mkapa el ni akina nani kabla ya kunya hapa jukwaani .... Yes namuunga mkono JPM lakini waliotuingiza hapa ni CCM ya Mkapa ...
Hujajua humu ndani wamejaa watoto siku hizi, hata hicho ulichoandika inawezekana hajakielewa
 
KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU NI UPINZANI

Kumbe nimegundua maendeleo yetu yanaponzwa na upinzani. Leo hii wamegeuka kuwa watetezi wa wawekezaji. Naanza kuelewa kwa nini akina LOWASSA walituibia sana hii nchi badae wapinzani wakawapokea na kuwatetea.

Wanachokifanya ni kuhongwa Pesa nyingi na kuanza kutetea upumbavu. Mfano thabiti ni sakata la LOWASSA kwenda CHADEMA.

Na hapa kwenye rasilimali zetu hizi tuweni makini na hawa watu. Washaanza kutengeneza ripoti zao za mtaani ambazo hazijulikani utafiti wake umefanywa wapi na kuanza kuziamini na kupuuza ripoti ya Prof. Mruma.

KIRUSI CHA RASILIMALI ZETU KWA SASA NI UPINZANI. WAO WANAONA NI MUDA MWAFAKA WA KUCHUKUA PESA NA KUTETEA UOVU. NI TABIA ILIYOPO VYAMA VYA UPINZANI KUPOKEA RUSHWA NA KUTETEA WIZI. MFANO THABITI NI KWA LOWASSA.
Mkapa umemwacha wapi na kikwete??
 
Back
Top Bottom