Eh! kumbe madaktari mshahara kiduchu hivi!

Eh! kumbe madaktari mshahara kiduchu hivi!

Mchango wake kwa jamii ndio unao mata .. sio hizo karatasi zako na dharau zako....muache daktari aendelee kusaidia watu ....Mungu atamfidia kadiri anavyoona inafaa
Nimuulize mleta mada akishikwa hata na flu tu huwa anajitibu mwenyewe au anatibiwa na huyo dokta...?
 
Kati ya siku iliyonisikitisha ni Leo. Kina rafiki yangu, namuadmire sana, toka tukiwa wadogo alikuwa so bright, mpaka akafanikiwa kuwa daktari.

Mimi binafsi huwa napenda sana kila weekend au nipatapo muda kuwa nae sehemu tunapiga story, naye hupenda kuniambia vitu vya kazini kwake kama wagonjwa na matukio anayokutana nayo. Ila ni kama weekend moja tu kwa mwezi ninaweza kumpata nyingine yeye huwa busy sana.

Sasa Mimi nimesoma mambo ya finance na nilifanikiwa kupata exposure nje kwa muda tu. Sasa kwa assumption zangu jinsi huyu rafiki yangu anavyokuwa busy na kutoa muda wake ata kukesha na kuwa mbali na familia nikajua na angalau salary yake itakuwa safi. Ila chakushangaza Leo alipata salary slip yake na kunionesha , oh my imenisikitisha kiukweli, ni around 1.48m take home yake ni kama laki 4 baada ya kukatwa na bodi na bank. Yani ninamzunguka karibu Mara 5 na sijawahi kukesha hats Mara Mona kazini. Yani kwa kifupi effort zake na zangu hazilingani. Sisemi kwamba kazi yangu haina challenges isipokuwa sifikii za kwake.

Nimejifunza kitu Leo. Maisha ni ushuzi mtupu, nimeamua nitampatia million 10 amalize shida zake ndogondogo rafiki yangu sana. This is not fair.
Ubarikiwe
 
Wewe huwezi kuwa na hela, wenye hela hawako hvyo kabisa
 
Finance graduate, serikalini anaweza na mshahara wa laki 6.Dr graduate, hukohuko serikalini mshahara anaoanza ni arround 1.4 milion

Hakuna Dr utamkuta anatafura ovyo na Natasha lakini hao finance,mmmmm!!
 
Kumbe wajaluo = wahaya, kuna kama watatu hivi tunafahamiana. Kwa kweli wana mikogo kama wa jamaa zangu wa Kyerwa na Kayanga.
Kwenye mikogo Wahaya = Wajaluo, unaweza kuta mtu kwa hakuna hata kibanda cha nyumba ya bati, lakini huko mjini anakwambia kwao kuna ghorofa.
 
Yoooote ni ubatili mtupu, freha, starehe, majumba,magari n.k ni ubatili tu.
 
Mleta mada najua utatukanwa kila tusi ila ukweli umewafikishia.

Ombi baada ya kumsaidia huyo raiki yako na mm nina shida kubwa naomba usinisahau plz ntaleta hapa mrejesho.
 
Maisha ni zaidi ya pesa! Kuwa na pesa nyingi haina maana mtu ana maisha mazuri! Na mtu kuwa na maisha mazuri haina maana ana pesa nyingi!
Maisha ni kupanga! Maisha ni kuyakabili!
Nina jamaa zangu wanapata 5m na posho juu lakini kimaisha hawana tofauti na wanaopata 1.5m! Wengine hata Nyumba hawana bado wanapanga! Na wanapanga kwenye Nyumba zilizojengwa na wale wenye mshahara wa 1.5m!
 
Back
Top Bottom