Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,198
HIVI YALE MAANDAMANO YAO YAMEISHIA WAPI..MBONA HIZO CD ZINAUZWA TU....au walikuwa wanasaka kiki
KWISHA HABARI YAO
KWISHA HABARI YAO
Mungu atuepushie dhahama.Msaga sumu kipenz cha watu wapi na wapi cholo mwamba tumuiteje na moto kombat wazee Wa singeli akina Mani fongo acha bhange mkuu kukosa ubunifu mkuu sio kingine
Hawana ubunifu ndio maana wamepotea unajua mtu anatumia tone moja toka aanze kuimba watu wanatumia tone moja toka waanze kuigiza hwana mabadiliko Nani anapenda vitu visivyo badilika ccm na anguko LA bongo movie ni vitu viwili tofauti mkuu rudi chimbo tafuta sababu mm Kama mwalim unakuja na explanation za namna hii katika essay hata sisahihishi naandika tu op kwa herufi kuuuubwa alaf nakata maelezo yote
Hata kwenye pilau ni tabu tupu,utasikia kelele mwanzo mwisho,mapaja yenyewe yamejaa mikorogo hadi keroWahamie kwenye PILAU sasa
Usikute ni bongo movie pia nayeye kwani wao unadhani hawatumii JFYaani unang'ata halafu unapuliza...we ni nouma..
Tuseme akitoa video wanaburudishana kizazi cha TT hutanunua?Bongo movie hata watoe video za ngono hakuna atakae nunua.
Hawajui ni wapi walipoteleza lakini kiukweli hawakusoma alama za nyakati. Leo hii ukiangalia sehemu kubwa ya watu wanaosapoti upinzani hasa katika masuala ya kisiasa ni miji mikubwa na hata sehemu zenye miji midogo iliyochangamka. Watu wanaoishi katika hii miji ni wadau wakubwa waliokuwa wakisapoti bongo movie.
Acha kubwabwaja hawa jamaa hawana jipya tokea tu walipovaa kijaniHaupo sasa mkuu kichwan yaan sijaona pumba toka nifungue jf Leo Kama hii yaani kuipenda kwao ccm ndio kumewafanya wadorore mbna Ali kina na diamond wapo juu huku hiyo msanii Wa chadomo msaga sumu kapotea hata hajulikan alipo acha bhangi mkuu bongo movie wamekosa mvuto koz hawana chombo kizur cha kuchuja Sanaa zao kabla hazijaingia sokoni, bajet ndogo , kukosa ubunifu na filam kukosa uhalisia
Ila mm
Mkuu kabla hujaandika kwanza tumia akili na vya kukalia
Kwa hiyo isingekuwa wameingia kwenye siasa ungenunua hizo bongo movie, na sio bidhaa kuwa mbaya, jamani hii ni Tanzania yetu mi naona ishue ni movie kuwa chini ya kiwango, ni kueleweshana,Wiki kadhaa nyuma kulikuwa na maandamano ya wasanii wa Bongo movie wakilalamika juu ya kudorora kwa bidhaa zao mbovu. Narudia tena kudorora kwa bidhaa zao mbovu.
Hawajui ni wapi walipoteleza lakini kiukweli hawakusoma alama za nyakati. Leo hii ukiangalia sehemu kubwa ya watu wanaosapoti upinzani hasa katika masuala ya kisiasa ni miji mikubwa na hata sehemu zenye miji midogo iliyochangamka. Watu wanaoishi katika hii miji ni wadau wakubwa waliokuwa wakisapoti bongo movie.
Tofauti na sehemu za vijijini ambako CCM ndo inaonesha kupokelewa zaidi. Sasa kitendo cha Bongo movie wengi kusapoti CCM kiliwavunja moyo wale watu wengi wa mijini kuisapoti bongo movie kwani waliona kuwa wao wamesalitiwa na Bongo movie sababu kipindi kama hiki tunalia nao shida ila ikifika wakati wa kampeni wanasapoti serikali iliyoshindwa kusikia kilio chao.
Hivyo basi salama ya Bongo movie ilikuwa kwa wao kutojikita katika siasa kama kweli walikuwa wanania ya maslahi ya kudumu, ila kwakua macho yao yalizibwa na kitambi cha JB wakaishia kuliona tumbo na kutoona mbele basi leo hii wasitulilie njaa. Kwakua hata sisi tunanjaa.
Nashukuru kuendelea kunisaidia kuelezea mkuuKwa mtazamo mwingine, ni kwamba umeme kwa sehemu kubwa upo mjini na kwenye majiji (2012 census report), sehemu kubwa ya TV ownership ipo mjini na kwenye majiji (2012 census report) halafu upinzani unakubalika kwenye maeneo hayo (NEC election results 2015). Sasa walichoshindwa kuelewa ni hizo takwimu na kufahamu soko lao liko wapi na wateja hasa wapo wapi.
Hata kama ni Internet, bado ni kama TV na kwenye umeme.
Ningenunua ili kusapoti kwakua najua hicho kidogo kingeweza kuwasaidia kuboresha kazi zao ila walipojiunga na ukijani sio mimi tu hata watu kadhaa nnaowafaham wameacha kabisa kununua na sio kununua tu na kutoangalia kabisaKwa hiyo isingekuwa wameingia kwenye siasa ungenunua hizo bongo movie, na sio bidhaa kuwa mbaya, jamani hii ni Tanzania yetu mi naona ishue ni movie kuwa chini ya kiwango, ni kueleweshana,
Inatakiwa utofautishe kati ya movie na kaimbambona diamond anapiga pesa na alipigia kampeni chama kubwa ccm
bongo movie kazi mbovu ndio zimesababisha kudolola kwa soko lao
eti nisinunue movie kali kisa aliyeigiza alipigia kampeni ccm kila mtanzania ana haki kushabikia chama chochote
hapo hamjishika nchi je mkishika si mtataka TANZANIA yote tuwe CHAGADEMA
Halafu wanarekodi kwa iphoneNimenunua into the bad land kwa buku tu na ni bonge la movie na inavyoonekana imetumia hela nyingi kutengenezwa sasa leo hii ninunue movie iliyotengenezwa na watu waliokaa kijiweni kwa laki tano eti mtu anaoga na nguo si ujinga huo
Nyimbo inapewa coverage kubwa sana tofauti na movie nyimbo inaweza kupigwa karibia kila kituo cha redio nchini na TV ila sio movie.mbona diamond anapiga pesa na alipigia kampeni chama kubwa ccm
bongo movie kazi mbovu ndio zimesababisha kudolola kwa soko lao
eti nisinunue movie kali kisa aliyeigiza alipigia kampeni ccm kila mtanzania ana haki kushabikia chama chochote
hapo hamjishika nchi je mkishika si mtataka TANZANIA yote tuwe CHAGADEMA
kwa hiyo wakiimba mtawasapotiInatakiwa utofautishe kati ya movie na kaimba
bongo movie kilichowaua sio kuisapoti ccm kwani wote walisapoti ccm mbona nao kazi zao zinadolola kikubwa ni ubovu wa kazi zaoNyimbo inapewa coverage kubwa sana tofauti na movie nyimbo inaweza kupigwa karibia kila kituo cha redio nchini na TV ila sio movie.
Nyimbo hata usipoipiga wewe ataipiga jirani yako utaiskia na unaweza ukaipenda pia kwakua kuna baadhi ya nyimbo unaweza kuipenda ukiiskiliza mara moja na kuna nyingine hadi uirudie kuisikia mara kadhaa na soko lake lipo karibu kila kona licha ya soko lake mziki pia upo kila kona ila siyo movie ambazo mtu akiamua kuipotezea inapotea jumla.
Sasa kitendo cha bongo movie kutojua soko lake liko wapi na kwenda tofauti na wale waliokuwa wanaisapoti kiasi kikubwa imewafikisha hapa.