Siyo hivyo. Polisi na traffic kwa ujumla nchi za nje wana maadili isipokuwa kwa watu wa jamii fulani tu. Ila kwa bongo, traffic wote ni wanoko, yaani akishakudaka yeye unamuona kapaniki, yaani hata ukijaribu kumuelewesha ndiyo anakubambikia makosa.Nature ya kazi yao haiwapi nafasi ya kupendwa kihivyo. Hata US polisi traffic hapendwi itakuwa Bongo!?
Sikilizeni, labda nyie ni traffic, kama siyo basi hamjawahi kukutana nao. Ila kama umewahi kukutana nao utaniambia, pamoja na kuwa rais kaonesha kufurahishwa na hicho kitendo cha yule traffic wa DSM, ila wengi wa traffic ni waovu na waonevu sana. Mimi mwanzo niliwahi kuwa mtetezi wao sana ila kuna jamaa zangu waliniambia traffic hata uwe mpole kiasi gani, kwao wakikuona tu basi wanajua "ulaji". Mpaka kuna jamaa yangu siku moja alimnyima traffic lift akamuambia apande kwenye tairi kama anaona inafaa, ofcourse nilimshangaa rafiki yangu, ila baada ya kunitokea, nilitamani traffic wote warudi chuoni wakafundishwe jinsi ya kutekeleza majukumu yao, I really hate them.Chuki kwa watu na majukumu yao za nini!!? Ulitaka wakubembeleze mkuu, kutangaza chuki hadharani ni kudhihirisha udhaifu mkubwa sana ambao umevuka kiwango cha kibinadam. Heshimu sheria ukionewa fuata utaratibu wa kisheria sio kuleta uzi wa kidhaifu..
You really hate them then you've posted a thread wanting more people who hate traffic officers, comrade Is your observation meets the criteria of announcing publicly that all these officers (whole country) are not good? Your sanple size is absolutely tiny and insufficient to make such wide conclusion, that is INDUCTIVE REASONING, and it can give a wrong conclusion.Siyo hivyo. Polisi na traffic kwa ujumla nchi za nje wana maadili isipokuwa kwa watu wa jamii fulani tu. Ila kwa bongo, traffic wote ni wanoko, yaani akishakudaka yeye unamuona kapaniki, yaani hata ukijaribu kumuelewesha ndiyo anakubambikia makosa.
Sikilizeni, labda nyie ni traffic, kama siyo basi hamjawahi kukutana nao. Ila kama umewahi kukutana nao utaniambia, pamoja na kuwa rais kaonesha kufurahishwa na hicho kitendo cha yule traffic wa DSM, ila wengi wa traffic ni waovu na waonevu sana. Mimi mwanzo niliwahi kuwa mtetezi wao sana ila kuna jamaa zangu waliniambia traffic hata uwe mpole kiasi gani, kwao wakikuona tu basi wanajua "ulaji". Mpaka kuna jamaa yangu siku moja alimnyima traffic lift akamuambia apande kwenye tairi kama anaona inafaa, ofcourse nilimshangaa rafiki yangu, ila baada ya kunitokea, nilitamani traffic wote warudi chuoni wakafundishwe jinsi ya kutekeleza majukumu yao, I really hate them.
I just hate them bro. Hawana lugha nzuri.You really hate them then you've posted a thread wanting more people who hate traffic officers, comrade Is your observation meets the criteria of announcing publicly that all these officers (whole country) are not good? Your sanple size is absolutely tiny and insufficient to make such wide conclusion, that is INDUCTIVE REASONING, and it can give a wrong conclusion.
Hahaha! Haya bhana ngoja watoke kazini wajeI just hate them bro. Hawana lugha nzuri.