Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,570
Nakuona umeanza umbea wako haya kachukue buku 7 kazi umeshamalizaTeh Teh kwa hiyo siku hizi hamna hoja nyingine zaidi ya kuibiwa hoja zenu?
Nakuona umeanza umbea wako haya kachukue buku 7 kazi umeshamalizaTeh Teh kwa hiyo siku hizi hamna hoja nyingine zaidi ya kuibiwa hoja zenu?
Unaweweseka nini wewe ulitakaje kwani?SOMETIMES HUMU JAMVANI NA SHINDWA KUELEWA WATU WANATOA MAONI YAO KWA UTASHI WA VYAMA VYAO NA SI KUJENGA NCHI,UPINZANI ULITOA HOJA NZURI YA KUTETEA MASLAHI YA WAFANYAKAZI SAWA NANI JAMBO LA HERI SERIKALI IMEFUATA USHAURI HUO,MTU FROM NO WHERE ANASEMA SERIKALI YA CHAMA TAWALA IMEIGA SERA NA USHAURI WA CHAMA CHETU HAINA LOLOTE,SERIKALI ISIPOFUATA USHAURI INA SIKIO LA KUFA,MNATUCHANGANYA MUKO UPANDE GANI?KUMBUKENI TULIWACHAGUA MWENDE BUNGENI MKATUTETEA NA TUNAWALIPA KWA KOD ZETU SIO VYAMA VYENU VINAWALIPA ACHENI KUWEKA MASLAHI YA VYAMA VYENU KWENYE MASWALA YA KITAIFA.
Kichokuuma wewe nyumbu nini sasa?Chadema wana matatizo,kila kinachofanywa ni chao,mwisho watasema magufuli ni wao wamemleta ccm
Naona dalili za upinzani kufa kwa kukosa hoja zenye mashiko
Kinachoniuma mimi ni chadema kukosa hoja zenye mashiko mara bunge live,mara tunataka safari kukagua balozi ndio hoja gani hizoKichokuuma wewe nyumbu nini sasa?
Peleka unafiki huko lumumba hujaona hoja hapo?Kinachoniuma mimi ni chadema kukosa hoja zenye mashiko mara bunge live,mara tunataka safari kukagua balozi ndio hoja gani hizo
Utakufa ww utauacha upinzani mnafanya kazi kwa kukurupuka kama kweli mnafanya kazi kwann mmeminya uhuru wa vyombo vya jabari kama si woga nn?Chadema wana matatizo,kila kinachofanywa ni chao,mwisho watasema magufuli ni wao wamemleta ccm
Naona dalili za upinzani kufa kwa kukosa hoja zenye mashiko
Ccm mbele Kwa mbele....Chadema wana matatizo,kila kinachofanywa ni chao,mwisho watasema magufuli ni wao wamemleta ccm
Naona dalili za upinzani kufa kwa kukosa hoja zenye mashiko
Magufuri ndio anaenda na UKAWA ila ccm ni ile ile ndio mana alisema chagua serikali ya magufuri sio ya ccm. Na wanaoisoma namba sasa ni ccm hasa waliozoea kuwa ni ile ile. MABADILIKO.kwani hujui kuwa ccm SASA inatekeleza ILANI ya UKAWA?if you don't know now you know.nchi sasa na Serikari inafuata maelekezo ya juu ukawa.
swissme
WE UNAFIKILI BILA SEKESEKE LA UKAWA MAGUFURI ANGEKUWEPO IKULU LEO. Magu mwenyewe anajua hilo ndio mana anamega na ya upinzani, sio mbaya. MEMBE ndio angekuwa rais au mwingine. CHambua data za hapo nyuma kama mchunguzaji mzuriChadema wana matatizo,kila kinachofanywa ni chao,mwisho watasema magufuli ni wao wamemleta ccm
Naona dalili za upinzani kufa kwa kukosa hoja zenye mashiko
angalia usiunguze mboga kwa ushabikiCcm mbele Kwa mbele....
Uhuru wa chombo gani umeminywa?Utakufa ww utauacha upinzani mnafanya kazi kwa kukurupuka kama kweli mnafanya kazi kwann mmeminya uhuru wa vyombo vya jabari kama si woga nn?
Ipo wapi?Peleka unafiki huko lumumba hujaona hoja hapo?
Na bunge live,!Teh Teh kwa hiyo siku hizi hamna hoja nyingine zaidi ya kuibiwa hoja zenu?
Hahaha....jibu murua hilikelele ni pale wanapozikosea kuzitumia.mapoyoyo.
swissme
Shida ya fisiem mnajifanyaga hamuelewi ila kutokuelewa kwako nimekusoma unafanya kazi kwa kulipwa haya nenda lumumba ukachukue buku 7 yako maana njaa haina adabu.Uhuru wa chombo gani umeminywa?
Huwezi kuona kwa sababu wewe kipofuIpo wapi?