Recent content by honeyHot

  1. honeyHot

    English learning thread

    I really like this post, i have learnt a lot and i hope to learn moree.. I want to speak English fluently, hope i ll make it.
  2. honeyHot

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nahitaji tv ya chogo ila flatscreen inch 21 kwa laki
  3. honeyHot

    Mafriji used yanauzwa

    Na mini fridge watts 90 ni sh ngapi kwa mpyaa kabisa?
  4. honeyHot

    Nahitaji friji ndogo

    Habari Ndugu zangu, nahitaji friji size ndogo kabisaa zile zenye watts 90.. Kama unajua wapi naweza zipata mpya kabisa msisite kuniambia na bei zake. Asanteni.
  5. honeyHot

    TBC wanaonyesha mkutano wa UKAWA

    Mmhh sio siri moyo umefanya paah!!
  6. honeyHot

    Kumbe Mahakama haijapiga marufuku mita 200, ni makosa tu ya Wanahabari

    Hahahaaa hii kitu imenichekesha sana mpaka kweny mapaa tena si tutavunjika miguu
  7. honeyHot

    Nasikitika sana nimepoteza haki ya kupiga kura naombeni ushauri jamani

    Kama hukupanga hivyo afadhali imekwenda na maji,pole sana sahau tu.
  8. honeyHot

    Story behind your date of birth

    Aisee kweny 3rd ni mie kabisaa,napenda hela balaa halafu ss ni afadhali nizipende afu nitumie,hapana napenda kuwa nazo nikizitazama tu mwee!mh ni selfish vibayavibaya jamani uwii na ni mtu ninayependa uhuru kweli,mh mbona imenilenga
  9. honeyHot

    Hizi ni ndoto hatari sana maishani mwako

    duh..nyoka huwa zinamkimbiza
  10. honeyHot

    Hizi ni ndoto hatari sana maishani mwako

    mimi kwann sioti kabisaaa mpaka natamani naona donge nikisikia wenzangu wanaota,mie sioti tatizo liko wapi?na kama ikitokea bahat mbaya nimeota,naota maongez ya ofisini yaleyale ya mchana!!ila kuna mfanyakaz mwenzangu kila mara yy anaota nyoka tuu!!mie sioti,kabla ya hapo nilikuwa nikiota kwa...
  11. honeyHot

    Wale TCU 2nd round, tembelea profile yako sasa hivi

    asante sana,japo udsm lilikuwa chaguo la nne,ndio maan sijawaelewa vizur
  12. honeyHot

    Wale TCU 2nd round, tembelea profile yako sasa hivi

    mdogo wang nimemchekia profile yake nikaingia katika programme rejection reason,katika vyuo vinne vyote ameandikiwa sababu moja na sababu yenyewe sijaielewa tuuu naomba unieleweshe,yy alipata Udsm lakin first round,sababu yenyew: selected in lowest available priority programme,kwamba hii moja...
  13. honeyHot

    Azam 2 mtasubiri sana kwa upande wa habari!

    hili suala mie nililiona tangia taarifa ya habari ya jumamosi,nikajiuliza vipi mbona sielew kweny taarifa ya habar yao hasa kuhus vyama,nikacheki Itv,aisee niliburudika na taarifa yao maana hata ile ajali ya tazara waliitangaza vizuri,suala la yule mwalimu wa primary morogoro,yani kwa habari...
Back
Top Bottom