TBC wanaonyesha mkutano wa UKAWA

TBC wanaonyesha mkutano wa UKAWA

Haaa nilinyamaza nikajua labda luninga hapa nyumbani ina matatizo.ilibakia dakika kidogo tu aitwe fundi aje kutengeneza kumbe hadi wengine iko hivyo?Labda mmoja wapo kati ya MAGUFULI AU LOWASSA anajitoa.
 
Haaaaa wanaondoa lawama siku ya mwisho labda watarusha na wa act .....baadae wa ccm mwanza
ila navyoona ikifika saa kumi ndio tv zote mwanzs
 
Kama ndio hizo tv 5 za ccm ni zipi.

Hili ni ajabu la tanzania sio dunia.

La dunia ni ikokea tanznia imewarudisha ccm madarakani.

J.makamba alivyosema kuhusu tv 5 hesabu yangu ilikuwa ni pamoja na TBC,Star tv,clouds lakini now nimebakiwa na star tv so labda ni tv stations za kawaida.
 
Kuna mtu aliulizia update ya Kirumba,huku ni fiesta tu kwenda mbele namuona mboto na khadija mopa stejini.
 
Kuna kitu kimetokea maana hata Radio Clouds imepiga U-turn ya ajabu mpka inashangaza! Wamekubali hata kutoa like tangazo la Lowassa! Kuna dalili kwamba watu wameanza kupata hofu ya Lowassa kushinda ndi sada wameanza kujipendekeza
 
Nataka kujua zile television stations tano alizosema January makamba ni zipi
 
Back
Top Bottom