Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Naweza kuupataje huo
Inalainisha kuwa nyororo, haitepeti. Ukitumia hata mikunjo kunjo ya ngozi unaiona inafifia inaifanya ngozi kuwa na afya.

Samahani kama ulikuwa hujanielewa.

Karibu sana ujaribu, huu ni udongo mzuri sana kwa ngozi. Nitaleta sifa zake kitaalamu siku za usoni, huko nje wanautumia na unauzwa kwa gharama kubwa sana.

Ni faraja kubwa sana kuwa hapa kwetu upo na sasa tumeweza kuukausha, kwakuwa kwenye vyanzo unapopatikana huwa ni mbichi na huwa na mchanga mchanga na kokoto, tumeweza kuuchuja mchanga na kokoto na tumeweza kuulainisha na kuwa kama poda kabisa na upo katika hali nzuri sana ya kutumika.

Kazi tuliyoifanya ni kubwa sana. Tuunge mkono kwa kuujaribu.
naweza kuupataje huo udongo nakaa kigambn ferry
 
Naomba kujua,inawezekana niwe naogea kama sabuni,sihitaji vikorombwezo sijui nipake nisubiri ikauke,embu nijibu pls [HASHTAG]#Zainab[/HASHTAG] Tamimu
 
Naomba kujua,inawezekana niwe naogea kama sabuni,sihitaji vikorombwezo sijui nipake nisubiri ikauke,embu nijibu pls [HASHTAG]#Zainab[/HASHTAG] Tamimu

Unaweza kuogea na wenyewe unateleza kama sabuni.

Tena kuna mtu nje ya Tanzania kwa sasa anatengeneza kabisa sabuni za huu udongo wetu.
 
mkuu mbona huku dom haupatikani jamani yaani kila kitu dar tu
mnatuonea bwana nasi twaitaji
 
Back
Top Bottom