Nasikitika sana nimepoteza haki ya kupiga kura naombeni ushauri jamani

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Wakati wa kujiandikisha wapiga kura mimi nilikuwa safari ya kikazi nje ya mkoa wangu hivyo nikajiandikishia hukohuko.

Ulipofika muda wa kubadirisha taarifa mimi nilienda mapema sana nikahamisha taarifa zangu toka mkoa X kuja Z na nikarudisha kitambuklisho cha zamani na kupewa kipya kilichoonesha kituo kipya cha kupigia kura.

Nimeshangaa sana baada ya tume kubandika majina mimi nimeenda kwenye kituo nilipohamishia taarifa jina langu halipo. Naombeni ushauri ndio nimepoteza haki yangu au?
 
Lazima kutakuwa na number ya simu imeandikwa hapo paliobandikwa majina, kwa wale ambso majina yao hawayaoni. Unao muda bado
 
Utashindwa kutenda dhambi siku ya jumapili, maana ungechinja wagombea na ungebakiza wachache. Sisi wengne tunaenda kuchinja mapemaaa! ili Mungu atuone
 
Wakati wa kujiandikisha wapiga kura mimi nilikuwa safari ya kikazi nje ya mkoa wangu hivyo nikajiandikishia hukohuko.

Ulipofika muda wa kubadirisha taarifa mimi nilienda mapema sana nikahamisha taarifa zangu toka mkoa X kuja Z na nikarudisha kitambuklisho cha zamani na kupewa kipya kilichoonesha kituo kipya cha kupigia kura.

Nimeshangaa sana baada ya tume kubandika majina mimi nimeenda kwenye kituo nilipohamishia taarifa jina langu halipo. Naombeni ushauri ndio nimepoteza haki yangu au?
We vipi?nenda tume unakuja jf sio pahala pake kwa kesi yako
 
hata mim nilifanya kama ww kwa kuhamisha taarifa. jina sikuliona bt nikacheki kupitia *152*00# nikapewa taarifa zote na jina la kituo nitakachopigia kura
Asante mkuu!nami niko mkoani nilikua nawaza niwahi kurudi kesho ili kuhakiki ila kwa msaada wako nimeshakijua kituo changu
 
Wakati wa kujiandikisha wapiga kura mimi nilikuwa safari ya kikazi nje ya mkoa wangu hivyo nikajiandikishia hukohuko.

Ulipofika muda wa kubadirisha taarifa mimi nilienda mapema sana nikahamisha taarifa zangu toka mkoa X kuja Z na nikarudisha kitambuklisho cha zamani na kupewa kipya kilichoonesha kituo kipya cha kupigia kura.

Nimeshangaa sana baada ya tume kubandika majina mimi nimeenda kwenye kituo nilipohamishia taarifa jina langu halipo. Naombeni ushauri ndio nimepoteza haki yangu au?

Angalia jina lako liko wapi kupitia *152*00# kisha fuata maelekezo. Kupiga kura ni haki yako.
 
Back
Top Bottom