Recent content by HNamanolo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua tabia ya ndugu subiri aoe

    Ushaanza gubu kwa shemeji yako.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wanavyuo Zanzibar wamepanga kuwa na kisomo maalum kuhusu Lipumba

    Kwakweli nimeshindwa kuzuia chuki zangu kwa huyu mzee kibaraka wafanye haraka.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

    Mbona kama chura yenyewe bikra hamna.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya nyota na sifa zake

    Namba 12 nyota ya Samaki ina
  5. H

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Ingekua watu wanaofanya matukio hawapo kwenye mfumo wa usalama wangekua washakamatwa ni wenyewe wanazogoana wanatuzingua ninachojiuliza shida yao nini.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Copy and Paste ya Muziki Wa Diamond hii hapa

    Ilo neno (fire) huyo LLP ana ati miliki sio basi sawa .
  7. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar kwa sh milioni moja ya Kitanzania.

    Ongeza uwe na milioni tatu nikuzie kiwanja mbagara mbande.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Wale wote tunaojianda kupeleka barua za Uchumba 2017/2018 karibuni

    [emoji23][emoji23]ulijuaje kama wiki hivi niliitwa na dada wa mchumba angu mtarajiwa nilipofika huko nikabanwa na maswali ya ajabu lengo lilikua kujua msimamo wangu kabla sijachukua hatua ya kupeleka barua kwa mshua ake sasa sijui walikua sahii au laa.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Pwani: Mwingine apigwa risasi mchana huu Mkuranga

    Tulishawekewa picha za waharifu wanaofanya hayo matukio vip hawajakamatwa?mimi nalia na mashushuwetu itakua kuna uzaifu sehem wanashindwaje kuwabaini hawa waarifu kwa kipindi chote hicho.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Magufuli 'amrushia madongo' aliyesema atashtakiwa sakata la mchanga

    Mr Magu nimemuelewa ila Tundulisu nimemuelewa vizuri zaidi ngoja tusubili mbivu mbichi zitajulikana.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Sportpesa

    Sportpesa wanapatikana karibu na coco beach kwenye jengo ambalo kuna benki ya fnb.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Diamond mdogo wangu naomba uhudhurie msiba wa mume mwenzio kiroho safi

    Akihudhuria au hasipohudhuria wabongo atutakosa neno la kuongea.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Katibu wa CCM Kata Ya Bungu, Kibiti auawa kwa kupigwa risasi

    Sijui nigeuze nirudi? ndio nipo safari naelekea jaribu tusiokuwemo tusije tukawamo mashushu wenyewe awajierewi.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

    Mora awape subraa ndugu na jamaa waliofikwa na msiba huo.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Katika hii ripoti nilikua nawaza mambo (2),Jambo la kwanza endapo bashite angetanjwa basi angeondoka na rundo la watu ili baba kumfariji mwana, na jambo la pili kama bashite hajatajwa utahoji nini kama watumishi hewa wamejazana katika taasisi na mashirika ya uma lengo ni moja tu kuwakata ngebe...
Back
Top Bottom