Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,786
Waungwana, natafuta kiwanja chenye thamani kati ya milioni moja hadi moja na nusu kwenye maneo ya pembezoni mwa jiji la Dar. Kiwanja kisiwe umbali wa zaidi ya km 15 to city center.
Karibuni kwa wenye navyo muweke hapa details.
Nategemea kiwe na ukubwa angalau wa miguu 20X20 na kuendelea!
Tapeli asisogelee kabisa uzi huu, kazi yangu inaniwezesha kumchukulia hatua mimi mwenyewe bila hata kumfikisha kwenye vyombo husika...