Sportpesa

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,620
38,653
Jamani kuna ujio wa hii kampuni moya ya wacheza kamari maarufu kama sportpesa,hizi kampuni huwa zinatoa fursa za ajira sana nchini haswa pale wanapofungua matawi mbalimbali nchini[bet shops].

Sijasikia sehemu yoyote hawa jamaa walikotangaza ajira nimejiuliza wametoka nawafanyakazi wao huko kenya? Au hawajaanza kuoperate official?

Mwenye kujua zaid atujuze
 
Wameshawapata tayari Wafanyakazi wao wa Kutukuka kabisa ambao ni Simba, Yanga na Singida United Mkuu hivyo wameshajitosheleza.
 
Abbas Tarimba Abbas ambaye alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Bahati Nasibu ya Taifa (Gaming Board of Tanzania) ndo mkurugenzi mkuu wa Sportspesa, fanya mawasiliano naye.
 
Jamani kuna ujio wa hii kampuni moya ya wacheza kamari maarufu kama sportpesa,hizi kampuni huwa zinatoa fursa za ajira sana nchini haswa pale wanapofungua matawi mbalimbali nchini[bet shops].

Sijasikia sehemu yoyote hawa jamaa walikotangaza ajira nimejiuliza wametoka nawafanyakazi wao huko kenya? Au hawajaanza kuoperate official?

Mwenye kujua zaid atujuze
nahisi wataendesha shughuli yao km m bet wanavobet online au kwa apps
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom