Diamond mdogo wangu naomba uhudhurie msiba wa mume mwenzio kiroho safi

kubwa jinga jr

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
292
309
amani kwenu wadau

Tangu habari ya msiba wa mume mwenzake mdogo wangu diamond ulipotokea sijamsikia kuzungumza chochote kuhusu kwenda jijini kampala kwenda kuzika

mimi namuomba aonyeshe uanaume ufike kwa roho safi na ujiamamini kwani waswahili wanasema halua haina makombo

Na watoto wa ivan wewe pia ni wako usiogope mdogo wangu onyesha uungwana wa kiafrika ila tahadhar mdogo wangu chakula chao usile si unajua ulinyang'anya mke wao

Cc:wasafi tukutane uganda hapa nawasiliana na jack pemba

assanten wenu kjj
 
Back
Top Bottom