Copy and Paste ya Muziki Wa Diamond hii hapa

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
LLP Feat MIKE DIAMONDIZ - Muziki: FIRE"

Diamond platnumz feat Tiwa Tiwa Savage - Muziki: FIRE.

Hitimisho: Diamond kakopi na kupaste Nina LA muziki kutoka kwa msanii mwingine.

Swali: wasanii Wa kibongo ni lini mtaacha tabia ya kukopi na kupaste na muanze kuumiza vichwa vyenu katika kutunga au kubuni kazi zenu?
Chanzo: you - Tube
 
Kufilisika maarifa na kukosa ubunifu ndiko kunakosababisha uishie kukopi na kupesti
 
Unakosea sana unaposema
"Wasanii wa bongo ni lini mtaacha kukopi na kupesti na kuumiza vichwa vyenu".
Sijui umetumia vigezo gani kuwahukumu wote.
Halafu unajua maana ya ku copy na ku paste?
Kwahiyo Diamond kaamisha kule Kwa mike diamondz na kuleta kwake?
Haya mchambuzi tumekuelewa
Ahsante kwa taharifa.
 
Ushauri wa bure kwa Diamond ni kwamba sasa abadilishe producer .Huyu Lizer anazidi kumshusha tu sijui kwanini anamng'ang'ania.Enzi zile akifanya kazi na maproducer wengine mchanganyiko kama ManWalter,Manecky,ShedyClever,NahReel,Lamar,MarcoChali n.k alitengeneza hits zilizosumbua Afrika nzima

Nimeusikiliza huo wimbo "Fire" kiukweli ni too low kwa level zake.
 
Huyu Laizer nae ks copy Na Ku paste beat Na milindimo ya wimbo huu..

Copy and paste inaruhusiwa kabisa ila nyimbo ni ya kawaida sana sijahisi chochote kipya k.ukwl ila ataufanyia promo mpaka kitaeleweka afadhali Mary you...ile nakukumbuka kaitendea haki ila ninayo kwenye playlist yangu muda sana ni kwl ni muda Wa diamond kuchanganya ladha sasa isije ikawa butu kama dully sykes...
 
Ngoma hata hazifanan bro! Acha kuzingua. Au unaangalia majina ya ngoma??? Achana na ishu za kishabiki
 
Ulisikia wapi Title inakuwa copyrighted?!

We unadhani ni kwanini movies/tv series huwa wanaongeza na mwaka kwenye title... kwa mfano, Power (2014)!
 
Huyu Laizer nae ks copy Na Ku paste beat Na milindimo ya wimbo huu..

Haja-copy na ku-paste bali amefanya sampling! Sampling itakuwa haramu endapo tu hapakuwa na makubaliano, kwahiyo, kabla hujahukumu unatakiwa kuwa na uhakika kwamba hapakuwa na makubaliano yoyote!

And don't forget, hiyo beat iliyokuwa sampled Diamond ameshiriki wimbo wake na kwahiyo hata kupata approval ni jambo dogo sana kwao!
 
Back
Top Bottom