Recent content by hilker mhema

  1. H

    Majina 7 yanayopewa nafasi ya kumrithi ten Hag ndani ya Man United

    Hii Timu endapo itamfukuza ETH basi wasije rudia kumpa Timu kocha ambaye ndio anakua au anachomoza katika Career yake/ kocha ambaye hajawahi manage Timu kubwa ,wachezaji wakubwa na hajafeel big moments. Kwasasa wangetazama zaidi kumpa Timu Hans Flick au Diego Simione. Hawa wawili ni proven...
  2. H

    HESLB: Batch One Out Now

    Kwangu inaonyesha hivi wakuu nini shida kwa anayefahamu tafadhali
  3. H

    HESLB: Batch One Out Now

    Sipa mbona siooni hapo mkuu, Nisaidie tafadhali
  4. H

    HESLB: Batch One Out Now

    Ujumbe huu unamaanisha nini wakuu? Msaada wenu
  5. H

    Mshahara wa Radio Broadcast Technician

    Wakuu habari, Samahani kwa wanaolifahamu hili jambo la mshahara wa broadcast technician ni kiasi gani? Na je, broadcast technician anakuwa anafanya mambo yapi haswaa?
  6. H

    Kazi za kuitwa kibarua kinapotokea zina maslahi mazuri? Hasa kwa mafundi

    Wakuu habari za leo, naombe kuuliza. Kuna kampuni ya ujenzi wa minara ya simu ilitoa nafasi ya kutrainee vijana waliosoma halafu itaanza kuwatumia kutokana na tenda zinavyokuja. But wao kama wao wakasema hiyo kampuni haiajiri bali itamtumia huyo mtu kutokana na kazi zinazotokea kwenye kampuni...
  7. H

    Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Mimi mwanaume. Herufi ya jina langu ni M nimezaliwa 22/3 Mpenzi wangu ni L amezaliwa 7/4
  8. H

    Natafuta ajira za telecommunication engineering

    Asante sana mkuu. Great experience[emoji1491][emoji1666][emoji1488]
  9. H

    Natafuta ajira za telecommunication engineering

    Ndio namaliza mwaka huu kaka
  10. H

    Natafuta ajira za telecommunication engineering

    Wakuu nimesoma telecommunication engineering st Joseph University in Tanzania. Naomba msaada wa kupata nafasi za kazi au kufahamishwa makampuni ambayo yanatoa nafasi za internship na volunteering kwa sector hii ya telecommunication
  11. H

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Nimeona boss shukrani[emoji1666][emoji1666][emoji1666]. Ninasubiri maajabu ya namba 9.
  12. H

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Umeuweka wapi boss ...mbona hatuuoni
Back
Top Bottom