bonvize
JF-Expert Member
- Feb 4, 2010
- 323
- 233
- Thread starter
- #341
Tarehe za kuzaliwa mara nyingi tunakuwa tunaelezwa na wazazi au walezi wetu hivyo akikosea hata tarehe moja tu hili somo la namba lazima litoe majibu tofauti.01/11/1982 nimepaya namba mama 5,lakini ukiondoa kipengele cha kazi sifa zingine zote sina,hapa kwangu imekaaje?.