Natafuta ajira za telecommunication engineering

hilker mhema

Member
Mar 20, 2017
81
23
Wakuu nimesoma telecommunication engineering st Joseph University in Tanzania.

Naomba msaada wa kupata nafasi za kazi au kufahamishwa makampuni ambayo yanatoa nafasi za internship na volunteering kwa sector hii ya telecommunication
 
Ina maana zama zimebadilika sana? Nakumbuka telecommunication engineering ilikua inakimbiliwa sana na vipanga wa darasa na ilionekana ina uwanja mpana wa ajira.

Kuna kipanga wetu wa shule alipiga one ya saba o level, advance akapiga ya tatu pcm, akaenda kusoma tele UDSM sa ivi anatembelea makalio, mjengo mzuri mbezi anakula good life naskia anafanya kazi airtel...
 
Tel com zamani tulikuwa tunasona pale udsm tukiwa na div one point 3 pcm lakini siku hizi imdingiliwa na impurities. We mwenyewe hapo ulipo una div three. Ndo Mana ajira hakuna
 
Dah zama zinabadilika. Enzi zetu Tele ilikuwa ya Moto Sana. Kwanza udsm ilikuwa Inachukua vipanga tu. Huna one ya Tatu hauingii. Ajira zilikuwa za kumwaga.

Leo Tele hata nafasi za kufanya field za kutafuta!
 
kijana komaa na youtube ujiajiri mwenyewe mbona akina mark wao waliweza wewe ushindwe una nini
 
Tel com zamani tulikuwa tunasona pale udsm tukiwa na div one point 3 pcm lakini siku hizi imdingiliwa na impurities. We mwenyewe hapo ulipo una div three. Ndo Mana ajira hakuna
Aisee imekuaje hii? Mpaka div 3 nao wanasoma tele? Dah... Jamaa zangu wakisikia hii watasikitika sana... Kuna mwanangu nilipiga nae, enzi zile mm PCB yeye PCM, ni kichwa hatari class alichomoka na 1 point 5 na tele akakosa pale UD! Ilimtesa sana kisailojia...

Basi hii tele siku hizi imeshapoteza muelekeo... Ishaanza kua kama computer science! Vijana sasa inatakiwa wasome sana wawe more creative kupambana ktk soko la ajira
 
Dah zama zinabadilika. Enzi zetu Tele ilikuwa ya Moto Sana. Kwanza udsm ilikuwa Inachukua vipanga tu. Huna one ya Tatu hauingii. Ajira zilikuwa za kumwaga.

Leo Tele hata nafasi za kufanya field za kutafuta!
Hatari mzee. Nakumbuka aisee! Ilikua ukiingia darasa la tele pale udsm ni shida, wamejazana wazee wa msuli nondo
 
Ina maana zama zimebadilika sana? Nakumbuka telecommunication engineering ilikua inakimbiliwa sana na vipanga wa darasa na ilionekana ina uwanja mpana wa ajira.

Kuna kipanga wetu wa shule alipiga one ya saba o level, advance akapiga ya tatu pcm, akaenda kusoma tele UDSM sa ivi anatembelea makalio, mjengo mzuri mbezi anakula good life naskia anafanya kazi airtel...
Mkuu saizi hakuna hayo mambo, Kuna jamaa kamiliza udaktari muhimbili tuko nae hapa tunaponda zege na kubeba tofali. Malipo 5000 kwa siku
 
Wakuu nimesoma telecommunication engineering st Joseph University in Tanzania.

Naomba msaada wa kupata nafasi za kazi au kufahamishwa makampuni ambayo yanatoa nafasi za internship na volunteering kwa sector hii ya telecommunication
Upo mkoa gani?
Kanda ya ziwa Kuna NETIS,Northern engineering,Dar ipo pivotech,maktech,bati service,makampuni yapo Mengi,cheki mtandaoni,siku hizi ajira,usisubili watangaze,hiyo ilikuwa enzi zetu miaka hiyo ya 2010,we fika getini acha CV,tafuta anuani zao,tuma barua omba,kazi,field,nk.
Usitume kwa HR,tafuta mawasialiano ya mtu mkubwa,MD,CTO,operation manager nk
 
Nipo dar es salaam mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom