Ulivyovomment utafikiri hutakufa vileTel com zamani tulikuwa tunasona pale udsm tukiwa na div one point 3 pcm lakini siku hizi imdingiliwa na impurities. We mwenyewe hapo ulipo una div three. Ndo Mana ajira hakuna



Ulivyovomment utafikiri hutakufa vileTel com zamani tulikuwa tunasona pale udsm tukiwa na div one point 3 pcm lakini siku hizi imdingiliwa na impurities. We mwenyewe hapo ulipo una div three. Ndo Mana ajira hakuna



Youtube yenyewe inahitaji bando,ni bora aanze na kutafuta intership kwanza,kujiajiri sio kazi rahisikijana komaa na youtube ujiajiri mwenyewe mbona akina mark wao waliweza wewe ushindwe una nini
Huyo MD mwambie aamkeMkuu wengi tu hawana kazi
Kuwepo makampuni mengi sio ndio uwingi wa kupata kazi........Aende pale Bati servise akajaribu,ila muhimu la kuzingatia ujaribu kampuni zote alizotaja mwamba hapo juu halafu ukifika kwenye ofisi zao jaribu kuonana na mlinzi getini akupe Abc kuhusu michakato ya inter ama ajira,hua walinzi tunawazalau sana lakini ndio haohao wenye kujua vingi ndani ya maofisi,Mie kibarua changu cha kwanza baada ya kutoka chuo nilipata pale jengo la umoja wa vijana ccm hapo nimelikuta limeshaisha,ila kwa nature ya kazi yangu nahitaji maeneo ya jengo basi nikaonana na mlinzi tena ni mdada nikajifanya sijui kitu,katika maongezi nae akapita supervisor akaniunga nae nikampa cv yangu baada ya siku nne nikapata kazi,anza nao walinzi kuwauliziaUpo mkoa gani?
Kanda ya ziwa Kuna NETIS,Northern engineering,Dar ipo pivotech,maktech,bati service,makampuni yapo Mengi,cheki mtandaoni,siku hizi ajira,usisubili watangaze,hiyo ilikuwa enzi zetu miaka hiyo ya 2010,we fika getini acha CV,tafuta anuani zao,tuma barua omba,kazi,field,nk.
Usitume kwa HR,tafuta mawasialiano ya mtu mkubwa,MD,CTO,operation manager nk
Kuwepo makampuni mengi sio ndio uwingi wa kupata kazi........Aende pale Bati servise akajaribu,ila muhimu la kuzingatia ujaribu kampuni zote alizotaja mwamba hapo juu halafu ukifika kwenye ofisi zao jaribu kuonana na mlinzi getini akupe Abc kuhusu michakato ya inter ama ajira,hua walinzi tunawazalau sana lakini ndio haohao wenye kujua vingi ndani ya maofisi,Mie kibarua changu cha kwanza baada ya kutoka chuo nilipata pale jengo la umoja wa vijana ccm hapo nimelikuta limeshaisha,ila kwa nature ya kazi yangu nahitaji maeneo ya jengo basi nikaonana na mlinzi tena ni mdada nikajifanya sijui kitu,katika maongezi nae akapita supervisor akaniunga nae nikampa cv yangu baada ya siku nne nikapata kazi,anza nao walinzi kuwaulizia



Nipo Airtel Morocco anaitwa naniIna maana zama zimebadilika sana? Nakumbuka telecommunication engineering ilikua inakimbiliwa sana na vipanga wa darasa na ilionekana ina uwanja mpana wa ajira.
Kuna kipanga wetu wa shule alipiga one ya saba o level, advance akapiga ya tatu pcm, akaenda kusoma tele UDSM sa ivi anatembelea makalio, mjengo mzuri mbezi anakula good life naskia anafanya kazi airtel...