Ghosryder
Ghosryder maelezo yako yako vizuri, lakini tatizo ni jamii ya kiislam ambayo inaonekana imewakumbatia magaidi ( NAOMBA UNIELEWE). sijasema imewakumatia magaidi. sababu yakusema hayo ni hizi;
1. Viongozi wa dini wameshindwa kukemea ugaidi na vitendo vinavyofanywa na magaidi. Katika...
Hakuna chombo kitakacho weza kuzuia utoroshwaji wa fedha nnje ya nchi kwa sababu fedha nyingi zilizotoroshwa nnje ya nchi ni zile za EPA na ESCROW. hizo pekeyake zinatosha kusababisha kuporomoka kwa shilingi.
That is true. haiwezekani Zito na ACT wajinadi kuwa ni chama cha upinzani kinachotaka kuleta mageuzi ya kweli nchini na wakati huohuo wanabomoa misingi ya vyama na wanachama wa upinzani nchini.
Nikitambo kirefu sasa sijawahi kumsikia zito akiikemea ccm kwa usimamizi mmbovu wa serikali yake na...
Arusha bado itaongoza kwa utalii kwa sababu iko katikati ya vivutio muhimu ya utalii upande wa kaskazini ya Tanzania. Kumbuka kuwa arusha imezungukwa na mbuga za Arusha national park, kilimanjaro national park, Tarangire national park, na Ngorongoro Conservation.
Hivyo basi ni vigumu sana kwa...
Ni unyama usiofikirika kwa mwanadamu mwenye akili timamu, na mwenye hofu ya Mungu ndani yake.
Swali moja tu ni kuwa Je nikweli mtuhumiwa aliyekamatwa anahusika na hilo tokio??.
Tunauzoefu na jeshi letu la polisi kutuliza moto. hujifaragua na kutangaza yakuwa wamekamata mtuhumiwa lakini...
Unachosema ni kweli ccm wanauhakika wa kura za maoni na wanajua itapita tu.
1. Watatumia tume hiihii ambayo sio huru (kwa maan nyingine ni tume yao iliyoteuliwa na mwenyekiti wao)
2. Jeshi la polisi ni lao hivyo watalitumia kuhakikisha wanalinda kurazao watakazo zichakachua.
3...
Ni jambo la ajabu kuona chama kilichopo madarakani kikilalamikia jambo ambalo likondani ya uwezo wao. Ni jambo la kustaajabisha kuona ccm inalalamika kuwa ukawa wanapewa fedha kutoka nje ya nchi bila kuchukua hatua ya kudhibitisha uingizwaji huo wa fedha. Ccm ina polisi, ina pccb, ina TISS n.k...
Ni ujinga kumfumania mkewako na mwanaume mwingine tena Guest house alafu uanze kupigana au kumpiga huyo mwanaume.
Jambo moja la muhimu katika maisha ya ndoa ni kuwa huwezi kumchunga mpenzi wako. Jambo la muhimu ni uaminifu ( kuaminiana).
Sasa utakuta mtu anajifanya yeye ni kidume, anapambana...
hamjaielewa hii nchi na uongozi wake. Mkapa alifanya makosa makubwa kwa kufanya usawa katika kumtafuta mrithi wa kiti cha uraisi alipoondoka. Tatizo la Jk ni kuwa anafanya na kuhakikisha ya kuwa hakuna kitakacho zuia mpango wake wa kumweka mrithi wake anayemtaka, ambaye atamlinda yeye Jk...
hapo naona mnafiki Zzk anadhihirisha unafiki wake meno nje na tabasamu kubwa huku ndani yake kuna giza nene la chuki na hasira juu ya Lisu. lati Mungu angemfanya mwanadamu aonekane kile anachokiwaza ndani yake tungelijua mengi.
inaonyesha wewe ni mfanyakazi wa startimes, kwa jinsi unavyoitetea. kwa kweli star times inachosha. hakuna chanel za maana za movies wala sports. mimi nalipia package ya 20,000. lakini nafanya hivyo kwa ajili ya watoto wangu tu. zaidi ya hapo hakuna kingine. huwezi linganisha chaneli za movies...
Elewa jambo moja nalo ni kuwa Zito kabwe aliwaaminisha watanzania kuwa anamajina ya walioficha hele nje ya nchi. tatizo la zito ni kuwadanganya watanzania kuwa anayo list ya majina ya wanyonyaji wa kitanzania walioficha hela nje.
sasa leo hii anakiri kwa kiapo cha maandishi kuwa hawajui (hana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.