Zitto Kabwe na Ya Mkalimani wa Lugha za Alama wa Msiba wa Mandela

jamani kwenye post hizi zote zijamuona Taswira, mwambieni mambo matamu huku. alijifanya kufuatilia san ziara ya Dr wa Ukweli. sasa sijui amepoteza comouter?
 
Now this is going too far. Ndugu zangu hata kama mnamchukia Zitto, kwa hili la kufanya comparison isiyolinganifu si haki. Ya Zitto tumpe Zitto na ya mkalimani fake apewe mkalimani fake.
 
Hivi warena akisema mbowe kasema hana mkanda wa soweto na amekuwa akiwakwepa mtasemaje?

Warema alijua vichwa vya wanachadema wengi vinatumiwa kujaza chuki badala ya kufikiri ndio maana alijua mtamuunga mkono.

Ni lini chadema mmeanza kumuanini ag warema?

Kwa style hii ccm itatawala milele maana wapinzani wao hawajui kufikiri bali kujaza chuki tuu.

Kama ulisikiliza statement ya tume ya katiba kuhusu swala hili ndi utaelewa zitto adanganyi.

Divide and rule priciple.

Elewa jambo moja nalo ni kuwa Zito kabwe aliwaaminisha watanzania kuwa anamajina ya walioficha hele nje ya nchi. tatizo la zito ni kuwadanganya watanzania kuwa anayo list ya majina ya wanyonyaji wa kitanzania walioficha hela nje.
sasa leo hii anakiri kwa kiapo cha maandishi kuwa hawajui (hana majina) walioficha hela nje wewe huoni kuwa huyumtu ni laghai na tapeli mkubwa.

Yeye kama Zito angetakiwa kusimamia hoja ya msingi, kuwa kuna watanzania mafisadi walioficha hela nnje au makampuni makubwa ya kitanzania au ya kigeni yaliyoficha hela nje ya nchi ambazo zingetakiwa zilipiwe kodi. habari ya kutaja majina ambayo hana ilikuwa ni uongo.
 
Hivi warena akisema mbowe kasema hana mkanda wa soweto na amekuwa akiwakwepa mtasemaje?

Warema alijua vichwa vya wanachadema wengi vinatumiwa kujaza chuki badala ya kufikiri ndio maana alijua mtamuunga mkono.

Ni lini chadema mmeanza kumuanini ag warema?

Kwa style hii ccm itatawala milele maana wapinzani wao hawajui kufikiri bali kujaza chuki tuu.

Kama ulisikiliza statement ya tume ya katiba kuhusu swala hili ndi utaelewa zitto adanganyi.

Divide and rule priciple.

I can agree with you but its the matter of time will tell
 
mwaka kila asiye na wazo atapata wazo, neno na mifano isiyokuwa na mifano ila waelewa tutabakia kama tulivyo hatutaingia kwenye hilo kundi lenu la upangaji
 
Hivi warena akisema mbowe kasema hana mkanda wa soweto na amekuwa akiwakwepa mtasemaje?

Warema alijua vichwa vya wanachadema wengi vinatumiwa kujaza chuki badala ya kufikiri ndio maana alijua mtamuunga mkono.

Ni lini chadema mmeanza kumuanini ag warema?

Kwa style hii ccm itatawala milele maana wapinzani wao hawajui kufikiri bali kujaza chuki tuu.

Kama ulisikiliza statement ya tume ya katiba kuhusu swala hili ndi utaelewa zitto adanganyi.

Divide and rule priciple.
acha upuuzi wewe! Kalale kwanza ukiamka ndio uandike upya hii thread!
 
Mwacheni jamaa apumzike,kila thead ZITTO,ZITTO,ZITTO,ZITTO kama hakuna mada nyigine tusipost kitu,tunamkwaza ni binadamu kama sisi,naye anasikia maumivu,akipigwa anaumia kama sisi.
 
Back
Top Bottom