East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Mdau umeuliza suali nzuri sana. Nami naulizia sehemu hizi kwa maeneo ya Arusha. Nipo huku kwa kikazi so ningependa nitumie muda huu kujifunza.
Nenda kituo chochote cha polisi
Mdau umeuliza suali nzuri sana. Nami naulizia sehemu hizi kwa maeneo ya Arusha. Nipo huku kwa kikazi so ningependa nitumie muda huu kujifunza.
Kuna sehemu wanatoa haya mafunzo?
Mtafute huyu jamaa **Sempai Gola**, 0713386628 anaijua michezo yote hyo
Dojo analo na sheria zote zimefuatwa, wasiliana nae atakuelekeza kila kituhuyo sempai ana dojo lake? pia limesajiliwa? au ndio yale ya kufundishana ufichoni na kufaatwa na polisi daily!
Hii ya Donie Yen-Judo,Wushu & Wing chun, naikubali sanaaa tu.......nimekuwa nikimwangalia hasa ile movie ya IP-Man 1&2 na Kung.Fu.Jungle.(2014)
General physical exercise na krav maga ndio mpango mzima kwa ajili ya kujilinda mwenyewe hayo mengine nawaachia nyie mnao taka kuwa maprofeshno
Samahani naminataka kujua wapi nawezapata vitabu au kitabu kinachousiana namafunzo ya karate naomba msaada kwayoyote anaejua au anacho
hahahahahajamani serikali ya china inichukue na mm
Wakuu Arusha hakuna hii kitu? Msaada tafadhali.
kwa arusha nenda posta ya meru ulizia office za davis and shirtlif . Juu ya hizo office ndio wanafundisha tae kwon do.
hahahahaha
Aisee! Namshukuru sana mdau aliyenirekebishia Mada na kuinogeshea...
Kwa wale waliojifunza mmepata experience gani katika hayo yote na changamoto zake...tusije tukaingia mkenge yakawa shida huko mbeleni..