Mnazionaje huduma za Azam tv?

Mnazionaje huduma za Azam tv?

Mkuu hii chanel imetajwa sana!hua ina vipindi gan vizuri?

Series na Muvi na ma entertain kibao Mara ya kwanza walixema ipo sasa cjui why haipo Pamoja Na zile Fox na fx walixema zipo but now Awajaziweka
 
wamebugi kutoweka chaneli kama
B.e.t black entertainment,T race urban,Na sony max. ila Kwenye movie
nawapa 100% maana izo Chanel za
Mbc ni hataree ni zaidi ya Mnet Kwa
watoto wamejitaidi ila wamewapunja
ki2 watoto we2 wa xaxa wanapenda
xana CH kama Cartoon network,Boomera ng na Disney. UPANDE WA SPORTS NDO MUHIMU
KWANI UNAJUA USIPO ONYESHA LIGI
KAMA EPL,LALIGA,BUND ELSLIGA NA UEFA/EUROPA UTOPATA WATEJA WENGI
Kwenye kampun yako wajitaidi 2
kuleta ivyo watajionea wenyewe,

Alaf zile ch ALJAZEERA ARAB NA MTV INDIA CJAONA UMUIMU WAKUWEKWA KWA CC WA TZ ATUJUI VIARABU KWANZA
 
Kweli kabisa,wangeweka na Sony max
 
Ni channel ya movie na series. Mnet hawatii mguu.

Ilo Alina ubish kwa anae zifaaMU CH ZA MBC ANAJUA UKALI WAKE KWA MUVI AWA JAMAAA WAPO MAKINI XANA KWA NEW MOVIE NA SERIES YAANI UKITOKA 2 WANAO APA WALIPO NIWEONA KWENYE PAGE ZAO WANATANGA FASTFORIOUS 7 MWAKA KESHO IKITOKA WATAIACHIA KU DOWNLOAD MUVI ME BYE BYE TENA NTAKUWA NA RECORD TU KUPITIA FLASH APA
 
Kwa mwendo huu mchina na Startimes watarudi kwao
 
Sasa kama hiyo "ALJAZEERA NEWS ARAB" ya nini hapa Tz au MTV INDIA wakati ipo MTV yenyewe.
Bado anasubiri kwa STARTIMES

Mbona Startimes napo kuna channels za kichina, kwani Watz wanajua kichina?
 
Ndg zangu nimenunua kisimbuzi cha Azam tv,naombeni mnifahamishe upande upi nilielekeze hili dish langu la DSTV ili niweze kupata matangazo ya Azam tv
 
Ndg zangu nimenunua kisimbuzi cha Azam tv,naombeni mnifahamishe upande upi nilielekeze hili dish langu la DSTV ili niweze kupata matangazo ya Azam tv

wewe umesema umenunua azam sasa utatakaje utumie dish la dstv kama sio uwongo.
 
Azam kwa majivuno kumbe matakataka matupu bora angeiga Cable TV na yeye alikuwa ni mteja mkubwa wa hiyo Kitu... Mambo ya Dubai One,HBO,Action Movie,Abu Dhabi Sports Zote,Ten Spots,Al-jazeera Sports Zote,History Channel,Cartoon Network zote hizi za Maana Ukiwa Home Hana......Dah na Nilisikia bei yake ingekuwa chini sana ati buku tatu nikajua mkombozi wa Watanzania kwenye nyanja ya Habari kumbe Kafanya Bwai bwai tu...
 
Ufungaji wa dish kupata Azam tv umekua mgumu sana
 
azam kwa majivuno kumbe matakataka matupu bora angeiga cable tv na yeye alikuwa ni mteja mkubwa wa hiyo kitu... Mambo ya dubai one,hbo,action movie,abu dhabi sports zote,ten spots,al-jazeera sports zote,history channel,cartoon network zote hizi za maana ukiwa home hana......dah na nilisikia bei yake ingekuwa chini sana ati buku tatu nikajua mkombozi wa watanzania kwenye nyanja ya habari kumbe kafanya bwai bwai tu...

ata m buyu ulianza kama mchicha kama utaki endelea ku2mia cable azam tv mdogo mdogo wanakuja utawaelewa tuu
 
kama wamekutumia nenda kawaambie watanzania tupo majalala wapunguze bei kidogo khaaaa kama kuwachangia tunawachangia sana kuanzia kwenye unga mpaka kwenye chapati
 
nzuri kwa tafsiri yako??kwa wengine hizo ni nzuri TBC1,2,CHNL 10,DTV,STARTV,ITV,EATV,CLOUDSTV,CITIZEN,CTN,E-STAR,STAR MUSIC,BET,ETV etc....mimi binafsi kweli naweka cha 20,000

inaonyesha wewe ni mfanyakazi wa startimes, kwa jinsi unavyoitetea. kwa kweli star times inachosha. hakuna chanel za maana za movies wala sports. mimi nalipia package ya 20,000. lakini nafanya hivyo kwa ajili ya watoto wangu tu. zaidi ya hapo hakuna kingine. huwezi linganisha chaneli za movies za startimes na MBC1 au MBC2. chaneli za movies za startimes ni vioja. kwanza movies ni za zamani sana na quality ya picha ni mbaya.

hata mimi niataitafuta hiyo azam TV nione kilichomo ndani kama kitanifaa au la. Lakini STARTIMES ni majanga wasipobadilika itakula kwao.
 
Nimefunga Azam tv leo,n burudani sana,jamaa wamejitahidi sana kwenye Movies,music,WWE n nouma saaana
 
Back
Top Bottom