Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,101
- 27,195
Lakini wewe unaonaoje, hakuna uhusiano?... lakini hii haijakaa vizuri , uislam kuuhusisha na ugaidi.
Lakini wewe unaonaoje, hakuna uhusiano?... lakini hii haijakaa vizuri , uislam kuuhusisha na ugaidi.
Wabadili imani tu wawe wapagani ilo wasifukuzwe. By the way, mtu kama Tyson kujiita muisilamu bado naona ni utani tuSo ata Mike Tyson na mastaa wengine Muslim watafukuzwa?
Lakini wewe unaonaoje, hakuna uhusiano?
Iko hv kaka kuna baadhi ya waislamu huelewa vbaya mafundisho ya dini uislam wenyewe unakataza kuua NAFSI na mwenye kuua mmtu 1ni sawa na ameeua ulimwengu mzma na kuokoa mmtu ni kuokoa ulimwwngu mzma kaka so dini cyo uadui bali upendo na amani
Pesa za dunia zimemlevya, bado tu kumtukana Mungu mana kila siku anaongea upumbavu.Juzi tu kawatunana watu weusi, mwache achezee hela zake, wamarekani wanamcheki tu
How about Janet JACKSON?Wabadili imani tu wawe wapagani ilo wasifukuzwe. By the way, mtu kama Tyson kujiita muisilamu bado naona ni utani tu
Nchi za kiislam ni zipi? Kuna wakimbizi wangapi wa Kimarekani kwenye hizo nchi?
'
Yuko sahihi. Wakae kwao. Na atakuwa raisi kwa sababu hategemei kura za waislam na hagombei uraisi wa waislam.
hi mzima wewe!Hivi inakuwa je mtu Kama Huyu bado
Yuko juu ? Ina maana wa Marekani wengi
Wanamkubali au wanakuliana na anachosema ??