Kumbe viwanda vya Cement vya Twiga na Nyati vimefilisika hatuambiwi ukweli!

Walikua wapiga dili hao

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo msemo ulitumika sana mwanzoni wakati jiwe anaingia kwa kuwa aminisha wananchi kuwa wale waliokuwa wanatumbuliwa ndio ilikuwa chanzo cha hali ngumu kwa masikini kwani waliiba sana pesa!!akatumbua wote lakini hali ndio ikazidi kuwa mbaya zaidi kwa walalahoi!!heee kumbe wakaona hizi ni siasa tu kwa sasa wameshajua kuwa adui yao mkubwa ni MIPANGO YA KUKURUPUKA KILA LEO!!inayofanywa bila kuzingatia bajeti iliyopitishwa!!!
 
Fika bunju punguza maneno mengi!
Bunju ipi mkuu. Sokoni? Duka linaitwaje? Naihitaji sana na nipo bunju A. Nielekeze nije.
Hivi unadhani huku bunju usiyoitaja kama ni bunju A au sokoni unaishi peke yako? Au una current info zaidi ya wizara? Hakuna cement ya bei hiyo popote tanzania kwa sasa! Kama ile ya mbeya inauzwa sh. 16000/= pale mjini, huko mikoani itakuwa bei gani? Jiongeze kidogo!
 
Viache Vife tu, mbona kila Kitu Tanzania kwasasa ni Mfu! Na ndiyo maana hata mwenyewe anajiita Jiwe, Jiwe halina Uhai. Na amejiita hivyo baada ya Kuuwa Kila Kitu na nayeye akaona atabaki milele hata kama hana Uhai, hivyo ni Stoney!
Aisee..you have sum up everything
 
Mtoa mada umekurupuka big time sijaona fact umeweka jamvini kuthibitisha andiko lako. Rejea rekodi za DSE uzielewe kisha ndo upost
 
Kwanini Simba-Tanga na Tembo-Mbeya havitajwi kwenye hili sakata? Ni kwamba vimekufa au ndio vinazalisha vizuri bila shida yoyote?

Sent using Jamii Forums mobile app

Simba - Tanga
Tembo - Mbeya

Viwanda vinapiga kazi vizuri kabisa isipokuwa

1. gharama za uzalishaji zipo juu sana, kiasi kwamba inachangia kupenda gharama za mauzo ya cement.

2. Wamiliki wanapambana kubana matumizi kwa njia mbalimbali ikiwwmo kupunguza sana wafanyakazi
 
Kuwepo Kwa cement siyokuwa kiwanda kinazalisha unayoiona ni ya kutoka store hata juzi juzi tairi za general tyre zilikuwepo lakini kiwanda nilikuwa kimefungwa zaidi ya miaka 20

Umenikumbusha lile tangazo la general tyre
“General tyre tairi imara, kwa taifa leeetu... General tyre”

Aiseee long time...
 
Back
Top Bottom