Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

Teh bavicha bwana mnachekesha sana'. Mnajitekenya kisha mnacheka wenyewe.
Vp ulitaka kwanza akalime kama mwaka mmoja hv kabla hajaenda act?
Hamuezi kutafuta misemo yenu mpaka mchukue misemo ya UKAWA, Au unatakiwa u- acknowledge kwa Maalimu Seif

Kwa niliyoyanona tangu Zitto kuhama chama. kuhojiwa na EATV akakiri kuanzisha ACT na pia wanavyovumisha habari pale wanapovuna wanachama kutoka CDM nina hakika pasi na shaka kuwa Zitto hafai kuwa kiongozi anaweza kuuza nchi kwa maslahi yake binafsi kama mafisi wa CCM wanavyofanya...sasa hivi ACT wanachoshangilia ni kuvuna wanachama from CDM which is killing opposition in our country... Itachukua muda hadi watu wagundue hili hasa pale uchaguzi wa mwaka huu utakapoisha and only by then it will be too late....

That is true. haiwezekani Zito na ACT wajinadi kuwa ni chama cha upinzani kinachotaka kuleta mageuzi ya kweli nchini na wakati huohuo wanabomoa misingi ya vyama na wanachama wa upinzani nchini.
Nikitambo kirefu sasa sijawahi kumsikia zito akiikemea ccm kwa usimamizi mmbovu wa serikali yake na rushwa. bali utamsikia zito akiwapigia kelele mawaziri na viongozi waandamizi wa serikali, ambao kwa msingi wa muundo wa serikali yetu ni wateule wa Rais na mwenyekiti wa ccm.
ukijaribu kufuatilia utaona ni mtindo uleule unaotumiwa na viongozi wa ccm hasa kinana ilikuwadanganya wananchi kuwa wanaisimamia serikali yao.
wanaosema zito ni msaliti hawajakosea. wako sahihi na huo ndio ukweli.
 
Wa TANZANIA WENGI HAWAJIELEWI JITU PANDIKIZI CHAMA CHA MAGAMBA BADO WANALISHADADIA HUKO MIKOANI MIJITU BADO MBUMBUMBU SANA CJUI ITAKOMBOKA LINI KIFIKRA
 
Zito amuulize mrema alikuwa maarudu zaid yake leo yu wapi?
 
In short Zitto is a mole of the current system to kill the opposition power. Na umaskini wetu basi baadhi yetu wanakubali kutumika kwa manufaa yao hao wasiotaka kupisha madaraka kwa vipande vichache vya pesa visivyokidhi hata haja ya maisha yao kwa mwaka hata mmoja.
 
Wa TANZANIA WENGI HAWAJIELEWI JITU PANDIKIZI CHAMA CHA MAGAMBA BADO WANALISHADADIA HUKO MIKOANI MIJITU BADO MBUMBUMBU SANA CJUI ITAKOMBOKA LINI KIFIKRA

Taifa linahitaji watu makini wa kujitoa muhanga kumkemea huyu dhalimu hata ikiwezekana kwa damu zao kumwagika.
Leo ukimsema zito vibaya hata ccm wanakutazama vibaya, sasa ndo chama cha upinzqni hicho?
 
IMG-20150410-WA0021.jpg IMG-20150410-WA0020.jpg IMG-20150410-WA0019.jpg
 
Maaaafiii yake bado nasema... Hili likitu ni hovyo kuliko wc ya stend. Atakuwaje na mawasiliano yeye na usalama wa Taifa bila kuwepo na ushirikiano na viongozi wengine wa chama chake.?? Huo ndio usaliti unaomgharimu na utamtafuna hadi mwisho. Ng'ombeee sana
 
Kwani kufanya mawasikiano na Mwamnyange, Mangu au Mkuu wa TISS ni usaliti?
 
Kwa hiyo amekubali kuwa hata zile pesa za ccm na Tiss ni kweli

Swissme
 
Kwani kufanya mawasikiano na Mwamnyange, Mangu au Mkuu wa TISS ni usaliti?

Usaliti ni mtizamo kutokana na mahali aliposimama msemaji.
CCM hawamwiti msaliti, CDM wanamwita msaliti.
Zitto anaokoa uhai wake kwa kufanya hayo anayofanya.
Ye yote mwenye akili timamu, anayemjua Zitto na chimbuko lake, hashangazwi na hayo anayo yafanya.
Waliomtangulia walifanya zaidi yake, wakaishia kunyang'anywa uraia.
Siku ya malipo haipo mbali.
 
Kama vile nawe utakavyogundua kuwa huo unaouita usaliti ni hadithi za kutunga.Naamini Ben Saanane analijua game hili vizuri kuliko wewe.So kama anavyosema Zitto WEKA AKIBA YA MANENO

Chadema tulishaacha kuhesabu wanachama wanaojiunga kila siku. Tafiti isiyo rasmi inaonesha kila siku watu 85 kutoka katika vyama na wasio na vyama wanajiunga chadema ama kwa kuchukua kadi au kwa kukubali sera za chadema na kuziamini, sasa nini Beni Saanane?
 
hodi wanajukwaa zitto cdm imekujenga sana kisiasa mpaka hapo ulipo sasa bila cdm watu wengi wasingekujua, mabadiliko unayoyatafta ungeweza kuyaleta pindi kuwa cdm na pia ungeweza kujiita mzalendo ndani ya cdm, inawezekanaje kuleta mabadiliko na uzalendo nje ya cdm wakati ulikuwa naibu katibu mkuu? ulishindwa nini kujenga hoja na ushawishi ndan ya vikao vya chama? wewe ni mjamaa je,ndani ya cdm ulikuwa nani? kwa ulewa wangu mdogo viiongoz waliowengi duniani waliweza kuleta mabadlko kupitia vyama vyao eg. jk nyerere, nm madiba, ym gaguta, mugabe na wengine wengi. kwa mtazamo wangu unasumbuliwa na uroho wamadaraka, ndan ya cdm ulikuwa unautka uenyekti nje ya cdm hautaki unataka uongoz mkuu mkuu wa chama, hii imekaaje? ina maana ndani chama chenu kuna wenyeviti wa wawili? na katiba yenu nasema hivyo? kama kipiengere hichi hakipo inabidi mkiongeze ndo nitakuuelewa,kwaulewa wang mdogo kokote duniani hakuna chama chenye viongoz wakuu wawili wala taasisi yoyote HAIPO! kisiasa sasa zitto umekwisha. Noya!
 
zito haja isha kisiasa.wewe ndio umeisha kimtizamo.hukatazwi kufikili kama ulivyo fikili nihaki yako.

katiba ya ACT kuna kiongozi mkuu na mwenyekiti.
kiongozi mkuu ndie mwenye uwezo wa kugombea uraisi.ili akichaguliwa akiwa raisi.mwenyekiti wa ACT ataendelea kukiendesha chama wakatihuo mkuu wa chama ni raisi.
hizo katiba zenu mlizo kopi nyinyi m ndio zinazoshindwa kutofautisha kazi za kikwete leo.kikwete anaweza akatembelea mkoa ruvuma kwaajili ya ziara za chama chake lakini anatumia magali ya serikali.
 
Umempa za uso bila kumkopesa yaani umemlipa cash na sio kwa installment safi sanas . Sasa mneza kuanza kuomba
 
Killing hujui hata kujenga hoja wacha nikuache maana hapo ndiyo mwisho uelewa wako.
 
Back
Top Bottom