Recent content by Hekima Ufunuo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Migiro kuwa Katibu Uhusiano wa Kimataifa CCM: Ni Demotion ama?

    Huyu ni mtaji kwetu sisi GREEN PARTY!
  2. H

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa on ITV!-Dakika 45 Part II!.

    Uchambuzi umeeelekezwa kwenye tuhuma za ufisadi ambao kimsingi ni karibu miaka mitano sasa hakuna ambaye ameweza kuleta ushahidi usiokuwa na mashaka juu ya hilo. Hoja kubwa alizozitoa ni nyingi, mfano Gavana atueleze kunanini mbona inflation haishuki? hili ni la msingi na pengine tungeelekeza...
  3. H

    JamiiForums Tanzania JK anamuandaa Edward Lowasa kuwa rais mwaka 2015

    Tuna shida nyingi sana, kuendelea kujadili hili ni kupoteza muda big time.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa kuwa mgeni rasmi ktk ujenzi wa kanisa RC Kyela

    HAKUNA JAMBO LISILOKUWA NA SABABU LIKATOKEA DUNIANI. Kwa wale wanaomwamini mungu yeyote, kila jambo lina maana yake kutokea. Tafsiri ya sababu ndiyo inayotufanya tuwe na utofauti wa maoni, mawazo na hata kubishana. Nitakuwa wa mwisho kutoa mawazo yangu juu ya hili kwa sababu sijui sababu ya...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Hamadi na wenzake kunguruma leo

    USHAURI KWA HAMADI. Kama anaamini kuwa anakubalika kwa wapiga kura wake basi akawashitaki CUF kwa wapiga kura wake na achague chama haraka kabla hasira za wananchi hazijatulia. Uchaguzi ukirudiwa mara moja anakuwa mbunge kupitia chama kingine. Hizi mahakama zetu hazina fedha, hiyo kesi inaweza...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Uvunjaji wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania

    Inapotokea serikali iliyopo madarakani kuvunja katiba ya nchi au mhimili mmojawapo wa nchi kuvunja katiba ni hatua gani zinachukuliwa na ni nani anayechukua hizo hatua? Nahitaji elimu hii kwa sababu kuna matukio ambayo mimi nayaona kama uvunjaji wa katiba ya nchi. Natoa mifana ili muone ni nini...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Clouds mnaudharaulisha Wimbo wa Taifa

    Kwa heshima na taadhima naomba kuwafikishia ujumbe huu Wamiliki wa Clouds FM juu ya wimbo wa Taifa ambao umekuwa ukipigwa sana kwa sasa kwenye radio hii. Wimbo huu unaopigwa siyo wimbo halisi wa Taifa letu, umeongezwa vionjo vya aina ya akapela hivi na midundo lakini mapungufu makubwa zaidi ya...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Manjonjo ya Dr Kimei wa CRDB!

    Sifurahishwi na aina ya watu wanaopost ndani ya JF. Siyo kwamba siwapendi hapana , sifurahishwi na post zao.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Manjonjo ya Dr Kimei wa CRDB!

    Zamani hapa JF, ulikuwa ukipost chochote kinachohitaji ushahidi ilikuwa ni lazima ulizwe uuweke hadharani kabla great thinker hawajachangia. Leo hii hapa pamejaa, kila kimoja kinapita tu. Ni kweli kulikuwa na misa Ni kweli aliyeomba misa ni Dk Kimei Ni kweli watu walikaribishwa kumsindikiza...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni msafi, Lakini kuna kitu hiki...

    Invisible, is this an evidence that Lowassa is Fisadi? Nikienda Brela nitapata majina yenu wote mnaomiliki JF, does it make you Fisadi kwa kumiliki JF. Jibu ni hapana. Ningefarijika sana kama tungeenda kwenye sheria za nchi na kujiuliza Barare wanalipa kodi? je wameajiri watanzania wangapi...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa Vs. Membe - Tanzania's own "Thrilla in Manila"?

    Natamani sana kupewa ushahidi kwamba lowasa ana mali nyingi sana na anaccount nje na ni mwizi wa mali ya umma. Tamaa yangu inatokana na sababu nyingi, na nyingine ni za kihistoria ila sababu kubwa ni kwamba sitaki kuingia kwenye dhambi ya kuhukumu bila ushahidi. Wakati kambona anarejea nchini...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Vijiji vya Ujamaa havikufika Kilimanjaro na Bukoba?

    Niliwahi kuomba kiwepo pia kitufe cha kubovyo mtu anapokerwa na post ya mwenzake kama ambavyo kipo kitufe cha Like unapofurahishwa na hoja ya mwenzako.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira kwa Vijana: Lowassa atabiri vita Tanzania...

    Hivi kuna ukweli wowote kwenye ujumbe wake? Je ni kweli kwamba kuna tatizo la ajira kwa vijana? Takwimu alizotoa ni za kweli? Kama Great thinker ningetegemea tuliangalia base on those facts na kama kuna ambaye angekuwa anapingana na hilo angetupa facts zake zinazoonyesha kitu tofauti na...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa na siasa za makanisani?

    Wewe hukupiga kura juzi, kinachokufanya uamini kuwa Lowasa hatakuwa Raisi ni kitu gani? Bora ungekuwa mpiga kura ningesema kura yako moja itamzuia kuwa Raisi, lakini kura yako imeshapotea. Kufikia 2015 ukweli wote utakuja hadharani na wazee wa propaganda wataumbuka na kusutwa mchana kweupe...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    Sala nyingi na maombi mengi sana upone haraka kamanda.
Back
Top Bottom