Recent content by Hassbaby

  1. Hassbaby

    Pata Nyimbo Mpya za Gospel, Bongo Fleva n.k

    Wadau nawasilisha App hii ya Music ambayo itawezesha upatikanaji wa nyimbo za maudhui tofauti tofauti DOWNLOAD HAPA . Application hii ni kwa watumiaji wa simu zinazo support Android tu.
  2. Hassbaby

    Wimbo mpya wa Mo Music "SKENDO"

    Moshi Katemi ametoa wimbo wake mpya leo, wadau sikilizeni HAPA
  3. Hassbaby

    Miss malawi akimsukuma miss new zealand

    ANGALIA MISS MALAWI ALIVYOMSUKUMA MISS NEW ZEALAND(VIDEO) ~ Hassbaby's (Mapacha) Huu si uungwana jaman, kwann Waafrika tunakuwa hivi?
  4. Hassbaby

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    HUYU NDIO RAISI WA TANZANIA 2015 - TUMAINI LA WENGI ~ Hassbaby's (Mapacha)
  5. Hassbaby

    Nyimbo ya steven kanumba kabla hajafa ni kama amejitabiria

    Hii nyimbo ya Kanumba kama amejitabiria vile Isikilize hapa Hassbaby's (Mapacha)
  6. Hassbaby

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Joshua Nathari afanya vizuri Arumeru, ambapo kwa taarifa za mwanzo alizozitoa Zitto Kabwe alisema Joshua ameshinda na kwa sasa taarifa imetoka Joshua amenyakua JOSHUA NATHARI (CHADEMA) YASHINDA UBUNGE ARUMERU MASHARIKI!! ~ Hassbaby's (Mapacha)
  7. Hassbaby

    Tetesi: Ni kweli Vengu amefariki??

    Jamani embu kuweni waelewa wa mambo, huyu ameuliza hajasema kuwa yeye ndio amesema ila ameambiwa na kusikia hivyo anatakakujua ukweli kama kuna anaefahamu lolote mtufahamishe na sio kumzodoa, kuuliza sio ujinga
  8. Hassbaby

    Matokeo ya kidato cha nne 2011

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2011. Matokeo ya kidato cha nne 2011 yametoka RESULT MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2011 ~ Hassbaby's (Mapacha) Check hapo. Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Matokeo ya...
  9. Hassbaby

    Binti mrembo auawa kisa facebook

    Ila inatisha sana
  10. Hassbaby

    Binti mrembo auawa kisa facebook

    Waungwana hizi social network tuwe makini nazo binti mrembo ameuwa baada ya kukutana na rafiki wa facebook ambae amekuwa mpenzi wake, wakiwa hotelini jamaa mwengine ambae alikuwa x wa huyo dem akatokea na kuanza kumkata mapanga mpaka kumuua, angalieni na watu mnaokutana nao jaman mtapotea Tazama...
  11. Hassbaby

    Izzo bizness aja na barua baada ya track ya riz one download hapa

    Track imesimama sana jamaa always huwa anaongea ukwel mtupu Download hapa Download Barua DOWNLOAD IZZO BIZNESS FT DULLY SYKES - BARUA ~ Hassbaby's (Mapacha)
  12. Hassbaby

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    Ajali ni ya meli ya Spice ambayo imetokea usiku na mpaka sasa kuna baadhi ya miili ya watu imepatikana, Watanzania tuwaombee hawa wenzetu waliotutangulia, Mungu zilaze roho za marehemu mahali pema peponi amina. Habari na picha zaidi Zanzibar Ajali BREAKING NEWS: AJALI, MELI IMEZAMA ZANZIBAR WATU...
  13. Hassbaby

    tcu-selected-applicants-and-loan (TCU WALIOCHAGULIWA 2011/2012

    TCU imeachia mambo mpweto TCU SELECTED APPLICANTS AND LOAN ALLOCATION FOR ACADEMIC YEAR 2011/2012
  14. Hassbaby

    Video ya sugu akiisifia fiesta imechakachuliwa?

    Jamani hivi hii ni kweli au wanatuchezea akili? Sugu huyu huyu aliyeikataa Fiesta now anaisifia! angalia hiyo video kwa makini mi nahisi wameichakachua SUGU VIDEO
  15. Hassbaby

    Heshima ya mwanamke Pt 2. Wema Sepetu aweka mambo Hadharani Fiesta Dodoma,....nje!

    Mwana dada Wema juzi katika Serengeti Fiesta ya Morogoro wakati Diamond anaimba nae akapanda jukwaani kumpa kampani ila cha ajabu ghafla akaanza kuonesha makalio yake juu ya jukwaa, hii huu ni uungwana kwa mtu aliyewahi kuwa Miss Tanzania? au ndo zile bhangi hazijaisha bado? www.hassbabymapacha.com
Back
Top Bottom