Heshima ya mwanamke Pt 2. Wema Sepetu aweka mambo Hadharani Fiesta Dodoma,....nje! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heshima ya mwanamke Pt 2. Wema Sepetu aweka mambo Hadharani Fiesta Dodoma,....nje!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by sekulu, Jul 5, 2011.

 1. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  wema sepetu.jpg
  Kale kadadaketu kalikutwa hivi huko Mji Kasoro Bahari kwenye Fiesta.
  Wapi heshima ya madada zetu?
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii imetamba sana jana na imeshajadiliwa vya kutosha.
   
 3. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  wanasema ni moro na tayari kuna post 2 juu ya picha hizi
   
 4. m

  mamanzara JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 655
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Hata la kusema sina, natamani ningeingia kwenye akili ya kila dada/mama anayejidhalilisha kwa madai ya kwenda na wakati nikambadilisha mawazo yake. Nachukia sana tabia za madada/wamama wa aina hii, wanatudhalilisha wanawake wote kiukweli.
   
 5. MaVa

  MaVa Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani jana si tuliambiwa ni Morogoro?
   
 6. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  This is too much, what are they trying to achieve.! coz anaonekana hata yeye mwenyewe hayuko comfortable...mambo mengine ni kujidhalilisha tu
   
 7. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kwel huu umaharufu ni kaz kwel kwel, sasa ndo nn ivyo? ovyooo
   
 8. H

  Hassbaby Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mwana dada Wema juzi katika Serengeti Fiesta ya Morogoro wakati Diamond anaimba nae akapanda jukwaani kumpa kampani ila cha ajabu ghafla akaanza kuonesha makalio yake juu ya jukwaa, hii huu ni uungwana kwa mtu aliyewahi kuwa Miss Tanzania? au ndo zile bhangi hazijaisha bado? View attachment 33316
  www.hassbaby.blogspot.com
   
 9. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kama vipi unapita tu, Chakula unaweza kula leo kesho na keshokutwa kama kitamu kula kama kibaya badilisha
   
 10. e

  edger blaston New Member

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  anajipya thatz y anafanya ivo ili aendelee kuckika na kuonekana
   
 11. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu ana mapepo
   
 12. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ah Mungu atamuhidi,
   
 13. Kajuni

  Kajuni JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Yupo kwenye mkakati wa kupata viti maalumu bungeni nyie kaeni mkifikiri ni mapepo mwenzio ana tageti na jamaa wa chama cha magamba
   
 14. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ila jamani tuache masihara Wema yuko bomba hasa nikimuangaliaga kwa nyuma nyie acheni tu.Me ningekuwa inzi kila wakati ningetua kwenye kalio lake.
   
 15. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Hapo chacha
  [​IMG]
   
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  hakuna umaarufu wala ma V ANAUZA TUUU wanunuzi wakina pedeshee wameweka magar mekundu na meusi stand by kuna vilio vywa kusaga meno veryveryvery sooooooon lets wait and well cccccccccci
   
 17. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Biashara ilianza kupungua kwahiyo inabidi tushawishiwe.
   
 18. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  wewe ni mgeni hapa town! ana nini yulee? USIHADAIKE NA RANGI TAMU YA CHAI SUKARI MUZEEE! mrembo wa ukweli anaejiamini hawez kaa uchi kadamnasini no matter ni g or f sting amijipigilia! we mupenz wako akianika nyeti zako vile unakubali? ukisema ndio naomba ban manake ntatukana walah tena!!! naamini unataka kumchungulia tuu .
   
 19. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daah no comments!
   
 20. m

  mancy Member

  #20
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole mama mzazi maana inauma sana mwanao anapokuwa hivyo. ila tuzidishe maombi kwa wanetu maana hali si nzuri.ipo siku atawabadilisha.
   
Loading...