Miss malawi akimsukuma miss new zealand | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miss malawi akimsukuma miss new zealand

Discussion in 'Entertainment' started by Hassbaby, Aug 22, 2012.

 1. H

  Hassbaby Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kusuma "nje ya eneo lako" ndo mpango mzima Malawi sasa

  Kaendeleza sera ya taifa tu
   
 3. B

  Bwaga ya moyoni Senior Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sasa hii inatuhusu nini sisi hapa JF jamani? Nadhani tunavyo vitu vyamsingi vingi vyaku-discuss.
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Kwa nini haituhusu?

  Nimeiona, either ni ya kitotototo au king'ombe ng'ombe.

  Hakufundwa, not a good look.

  Gaijin Ms. New Zealand alitaka kung'ang'ania katikati ya ziwa :)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwasababu Sisi si Wamalawi wala Wa-New Zealand!
  Natambua ishu ya mtiti wa mpaka ndiyo imetufanya wengi ukiwemo Kiranga kuanza kufuatiliafuatilia habari za Malawi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  IHabari hapa si nchi.

  Habari hapa ni tabia. Jifunze ustaarabu.

  Ukiona kingine, labda wewe ndo una dwell katika politics.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ndo sera ya mama yao joyce.b
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ms. New Zealand kang'ang'ania ziwa la 'spotlight' yake, kaamua afuate sera za nchi, "hadi tone la mwisho la ziwa hilo ni lake kwa asilimia 100,"
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Licha ya kuwa Malawi ni jirani zetu, kwa hiyo kuwa na interest na habari zao ni jambo linalotokea kirahisi, lakini pia kitendo hicho kibaya amekifanya kwenye jukwaa la Kimataifa ambapo hata Mtanzania alikuwepo, hivyo tuna kila sababu jambo hili kutuhusu.

  Na hata kama Tanzania ingekuwa haijashiriki mashindano hayo na Malawi si jirani yetu, bado lingetuhusu maadamu tunaishi katika dunia hii hii moja.

  Kujifunza kitu, si lazima kuvae koti la utaifa, muungwana hujifunza kwa makosa ya wengine.
   
 10. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kumbe Umejiunga jana,Karibu JF

  Jukwaa hili ni Mambo ya Entertainment Nothing Serious ...endelea Kujifunza kuna vitu vingu hapa JF ... Na sio JF kila kitu lazima udiscuss huku povu linakutoka.

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana na wewe 100%.
  Lakini pia natambua Jina Malawi limekuwa tamu akilini mwa WaTz since few weeks ago!...
  Naamini members wengi wakiona jina hilo wanaweza kufungua thread hii!
   
 12. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Wache wafungue kwa wingi, wanaweza kujifunza kitu.

  Tabia ya mfano wa hiyo ya Ms.Malawi imejaa tele kwenye jamii zetu.
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  And your point is?
   
 14. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ...............!
   
 15. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kama hukipendi kitu si unakiacha sio lazima wote tufanane ndo maana likaitwa jukwaa.akipanda lusinde anatukana wasira analo lake and so on.usikatishe watu tamaa hapa bana.
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  As above!
   
 17. B

  Bwaga ya moyoni Senior Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mku Davie S.M. nimekupata kaka/dada yangu. Pengine niseme tu kuwa nimejiunga jana kwa jina hili unaloliona ila tayari ninayo majina saba maarufu sana hapa JF. Bado naamini kuwa hii siyo ishu inayofaa kujadiriwa na wanaojiita great thinkers. Mtoa hoja amekuwa mjanja tu kwani alijua akitaja Malawi basi wanaJF wengi watavutiwa hata kama ni zile zile habari za mashindano ya kuvaa nusu uchi (U-miss).
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  The entire great thinkers label is a myth.

  Great thinkers do not bestow themselves that title, it rather smacks of licentiousness and a tad bit far too self important for anyone approaching the rank of a true great thinker.
   
 19. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Huyo Miss New Zealand kwa nini hakutoka hapo kwenye 'spot' on time!? Dharau tu! Ilikuwa zamu ya Miss Malawi kuwa hapo huku jina la nchi yake likitajwa...sawa tu! waBongo waoga-oga hatuwezi fanya hivyo hata tunapojua huyu kwa makusudi ananihujumu, eti kisa uungwana!
   
 20. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  "On time" ndio muda gani? Umeujuaje kama umekiukwa? Na kwa kiasi gani?

  Wabongo kwa mentality ya kudhani mnadhauriliwa, hamjambo!

  Tusitetee tabia mbaya kwa kijisababu cha dharau, tutadharaulika

  Ndani ya seconds hizo, alishaijua dhamira ya mwenziwe?
   
Loading...