Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Video ya sugu akiisifia fiesta imechakachuliwa?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Hassbaby, Jul 8, 2011.

 1. H

  Hassbaby Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani hivi hii ni kweli au wanatuchezea akili? Sugu huyu huyu aliyeikataa Fiesta now anaisifia! angalia hiyo video kwa makini mi nahisi wameichakachua
  SUGU VIDEO
   
 2. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  ninanukuu kutoka fb page ya mheshimiwa Mbilinyi;


  • [​IMG]Joseph Mbilinyi

   ‎...Mbeya hatuhitaji upuuzi unaoitwa FIESTA,kwahiyo isije na naapa...uamuzi huu ni sehemu ya mapambano yetu dhidi ya maadui hawa wa maendeleo ya sanaa,and we are very serious on this one!!!
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,652
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. serio

  serio JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,293
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  hiyo vid imechakachuliwaa
   
 5. P

  Pazi JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,911
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  haijachakuchuliwa hiyo video nafikiri ni ya kipindi cha zamani fiesta zilizopita... Itakuwa point yao ni kwamba mtu anayeka taa hiyo fiesta ndio huyo huyo aliwahi kuisifu fiesta. Sema sugu alitowa pointi zake za kwanini safarihii hajakubaliana na fiesta sababu za unyonyaji wa kisanii za wasanii wa kitanzania na haki zao.
   
Loading...