Recent content by hassan kisabya Almas

  1. hassan kisabya Almas

    Anataka kumuacha kisa ufupi

    HUU ni utoto!HAWA ndio mabinti wanaopenda ubrazaman tu ktk maisha ila sio maisha. toka lini vigezo vya ndoa vikawa kimo?tupostie picha za wazazi wako TUONE. wewe endelea na ufuska wako usitake kueleza FIKRA ZENU mnazodanganyana na masistadu wenzako. Hao waliokushauri eti, mtu mwenyewe...
  2. hassan kisabya Almas

    Je, Mungu ana sura gani?

    KAKA ukianza tu kumuhoji Mungu na kumfananisha na chochote ,tayari unaanza kufuru! "ALLAH IS UNIQUE ,HANA MTOTO,HANA MAMA ,HANA BABA"SASA UNAWEZAJE KUMFANANISHA NA KIUMBE!?
  3. hassan kisabya Almas

    Je, Mungu ana sura gani?

    Hafanani na CHOCHOTE ,huyo ndiye mkuu wa wakuu, mfalme wa wafalme, anamiliki bingu,ardhi, rizki,njaa , anamiliki Vifo, afya , mjuzi wa dawa na magonjwa!" WEW UNAULIZA KAFANANAJE?"
  4. hassan kisabya Almas

    Je, Mungu ana sura gani?

    ACHA KUCHEZA na Mungu MKUU ,cheza michezo yoteee ! HILI acha kabisa
  5. hassan kisabya Almas

    Tumeshindwana na aliyekuwa mpenzi wangu, nimempeleka mahakamani, sasa anaomba msamaha

    DUNIA inatabia ya kurejea uliyofanya kwa wengine! Ukitaka kumuadhibu mtu kwanza pima yote aliyowahi ku kukufanyia AWALI,je hakuna Haya DOGO jema alilofanya,kama lipo tumia hilo kumsamehe. HALAFU kwa kauli yako,umetamka "aliyekuwa mpenzi wangu" Dada wapenzi hawafiki polisi/mahakamani ,labda...
  6. hassan kisabya Almas

    Countdown on the End of Obama's presidency [Photos]

    He was a President ,a leader inspired the world!!Go Mr Obama!America will not forget U, even the WORLD!
  7. hassan kisabya Almas

    Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

    KAKA huyo awe simba wa plastik /toy au simba mnyama!!!?
  8. hassan kisabya Almas

    TANZIA: Kada wa CCM Peter Kalihose afariki dunia

    INNA LILLAH wa inna illah rajiun!
  9. hassan kisabya Almas

    Mwaka huu natamani kuoa

    Jambo la ndoa ni jambo jema, Mungu akujalie na akupe ujasiri huo . nakushauri, 1.usiwape nafasi waseja/WASIOPENDA NDOA KUKUSHAURI-watakupotosha 2.wasikilize WALIO KATIKA ndio 3.usianze kufikiria matatizo ya ndoa BALI mafanikio ya ndoa. (Matatizo ni jambo la kawaida) 4.usianze KUTAFUTA mchumba...
Back
Top Bottom