Je, Mungu ana sura gani?

Je, Mungu ana sura gani?

Hafanani na CHOCHOTE ,huyo ndiye mkuu wa wakuu, mfalme wa wafalme, anamiliki bingu,ardhi, rizki,njaa , anamiliki Vifo, afya , mjuzi wa dawa na magonjwa!" WEW UNAULIZA KAFANANAJE?"

Kuna sehemu nimeuliza anamiliki nini?
 
Tunajidanganya tu. hakuna mtu mwenye maumbile au sura ya Mungu.
kufanana kwa binadamu na Mungu ni katika MIND na si sura au maumbile.
ingekuwa maumbile Huyo Mungu si angekuwa na sifa zile za binadamu kama kukua na kuzeeka n.k n.k? angelazimika hata kuvaa ili kujisetiri
 
Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
Kwani Mungu kusema " kwa mfano wetu" ina maana ya sura? Cast your net wide in your thinking. Secondly, jua kwamba, xhanzo cha binadamu ni Africa, ila hii haina maana ya rangi. Kwa taarifa yako, ni gene ya mwaafrika tu ndio ina uwezo wa kukode rangi yoyote duniani from very black to white.
 
Mkuu, ebu eleza kidogo, ni kwa mfano upi labda!??
 
Nafikiri kuna watu wawili ambao wanaweza kukujibu hili swali ..ni watoto wawili wamarekani, wote walikua wagonjwa ..one died mysteriously and come back to life again and another one alikua unconcious yani kama yuko katika coma ...a boy went to heaven and saw angels and Jesus and Mary Mother of Jesus, and a girl went to heaven and talked to God, sasa sijajua kama she saw a face,,but alikua anasema aliongea nae alimuahid kua atamponya ugonjwa mbaya uliokua unamsumbua ..
 
Mkuu, ebu eleza kidogo, ni kwa mfano upi labda!??
Mzungu na mzungu hawaeezi kuzaa mtu meenye ngozi ya rangi nyeudi lakini pure black na pure black wanazaa mtoto mweupi hadi watu wakashangaa wakati wazazi ni weusi pure. Hii inamaanisha kuwa black African ana codes za rangi zote katika genetic make up yake. Genetic researcher mmoja aliwahi kusema kuwa, watu wote duniani wakiuawa ila waafrika wakaachwa, watazaliwa tena wazungu, wahindi, wachina etc.
 
Duu! sasa hi ni balaa yaani kama unahoji kuhusu mungu ni kukufuru sasa tutamjuaje na yeye kajificha.
 
Mzungu na mzungu hawaeezi kuzaa mtu meenye ngozi ya rangi nyeudi lakini pure black na pure black wanazaa mtoto mweupi hadi watu wakashangaa wakati wazazi ni weusi pure. Hii inamaanisha kuwa black African ana codes za rangi zote katika genetic make up yake. Genetic researcher mmoja aliwahi kusema kuwa, watu wote duniani wakiuawa ila waafrika wakaachwa, watazaliwa tena wazungu, wahindi, wachina etc.
Namaanisha hapo uliposema kuwa haina maana tumeumbwa mfano wa sura ya Mungu... Unamaanisha nini...
 
Mungu amemuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake.
Dunia hii ina watu wa rangi mbali mbali. Kuna wazungu, waafrika, waarabu, waasia, n.k.
Swali linakuja, je, Mungu amechukua sura ya watu wa wapi hapa duniani? Ni mweusi au mweupe? Mwarabu au muasia?
Sura na rangi ni vitu viwili tofauti,kama katuumba kwa sura yake basi kumbuka watu wote hao uliowasema tuna sura zinafanana,rangi tupa mbali
 
Namaanisha hapo uliposema kuwa haina maana tumeumbwa mfano wa sura ya Mungu... Unamaanisha nini...
Mfano wa kitu unaweza ukawa wa rangi, maumbile au functionality. Kwa hiyo unapoongelea Sura, unajilimit maana kinachofanya ubinadamu sio Sura bali Ni vitu vingi kwa pamoja.
 
Maswali ambayo wazungu waliangaika nayo karne nyingi zilizopita kama ayo ya sura ya Mungu,Katokea wapi,mbinguni kukoje,je kuna maisha baada ya kifo namengine mengi wakaamua kuachana nayo wakaamua kutumia akili zao kutengeneza vitu vyakuwarahisishia maisha kama vyombo vya mawasiliano na usafiri sisi tunaulizana leo karne ya 21.Hadi tufikie mawazo wanayowaza wenzetu leo wao nadhani watakua mbali sana kifikra.
 
Mungu aliposema na tumuumbe mtu kwa mfano wetu hakumaanisha rangi,UTASHI ndo ilikuwa Primary Reason,Biblia inaposema kwa sura ya Mungu haimaanishi kuwa Mungu anafanana na sisi Sura,ila anamaanisha Tabia ya Mungu inapaswa kuwa ndani ya huyo mtu..ndo maana tulivyotenda dhambi Mungu tukawa tumejitenga kabisa na Mungu,Ile connection tuliyokuwa nayo before ikawa imefika TAMATI..

NOTE:Hakuna aliyewahi kumuona Mungu,Hta Musa alijaribu kumuomba Mungu waonane uso kwa Uso lakini alishindwa kwa jinsi MUNGU Alivyokuwa mtakatifu na Mwenye Kung'aa kwa Utukufu...Hakutazamika,Mose aliuficha Uso Wake.
 
QUR-AN inasema katika surat Ikhlas

"Sema yeye Mwenyezi Mungu ni MMOJA

Hakuzaa wala hakuzaliwa

Na hakuna yeyote anayefanana naye"
 
Nawashauri woote humu kusoma kitabu cha Quran humo ndio kuna majibu sahihi kabisa ya kuonyesha Mungu ni nani, anataka nini, na anakatza nini na mwisho wa maisha haya ni nini na maisha yajayo yako vipi..

Please chukua dakika kadhaa pitia japo sura moja tu utaelewa insha Allah.
 
UKijua adamu alikua ana asili gani basi ujue hiyo ndiyo asli ya mungu ingawa mungu hafananishu na chochote
 
Upo nje ya mada ndugu.

Leo tunataka kujua sura ya Mungu.

Hiyo mada yako ilete siku nyingine kwa uzi mwingine.
Sijui ana sura ipi ila naamini ni mfano wa Mwanadamu, Mwanaume.

Katika Biblia pia kuna mahali pameandikwa

"Hakuna aliyemwona Mungu na akaishi"

Pia kuna scenario nyingine inasema:

Musa alimwomba sana Mungu kuwa aione sura yake kisha akaoneshwa upindo wa kanzu ila kukatokea tetemeko na mwanga mkali mpaka waisrael wakaomba asitishe hilo.

Hayo yameandikwa...sijui ni wapi hasa ktkt biblia

Pengine pameandikwa kuwa Mungu ni roho.

Kuhusu sura ya Mungu kuwa ni ya rangi gani nina uhakika hakuna aijuaye.
 
Mungu ni Roho. Hana sura wa umbo. Ila anajulikana kwa matendo yake makuu.
 
Back
Top Bottom