Recent content by haryzota

  1. haryzota

    JamiiForums Tanzania Nauza Portable home CCTV Camera kwa bei ya kutupa

    Wana Jamii forum habar Wakuu nauza CCTV camera kwa bei ya hasara Camera sijaitumia kabisa Mahali napatikana Mtwara Bei ni Tsh 65,000
  2. haryzota

    JamiiForums Tanzania Kuona wachawi kuna maana gani?

    Aisee hizo ngoma mimi hua nazisikia lakini huwa nazipuuza najua labda uko kuna vigodoro vya uswahilini vinaendelea tena mi nazisikia mida yaa saa tisa kwenda saa kumi....duu aisee uku Mtwara kiboko[emoji119]
  3. haryzota

    JamiiForums Tanzania Wapiga debe 30 wakamatwa stendi ya Magufuli

    Kazi mbona ziko nyingi tuu wakauze karanga.
  4. haryzota

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeingia ulimwengu mpya

    Hii chai wallai tumepigwa tena mchana kweupe.......yani mtu arudishe laki moja usawa huu wa awamu ya tano[emoji23][emoji23]
  5. haryzota

    JamiiForums Tanzania Huyu kuku anaumwa ugonjwa gani?

    Anaumwa mafua ya kuku....dawa zipo nyingi.....kuna fluban,tylodox.n.k
  6. haryzota

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

    Jini mahaba on his mission
  7. haryzota

    JamiiForums Tanzania Meditation in your daily routine

    Mi nauliza swali.....Nilijaribu kufanya meditation,hio siku ilikua usiku nimelala nilikua nausoma huu uzi nikasema ngoja nijaribu, tena nikafanya ile ya kuvuta pumzi nikwa nimelala chali .....kilichotokea ni kua nikawa naota ...katka hi ndoto nikua niliota nikiwa mtaani kwangu natembea kuelekea...
  8. haryzota

    JamiiForums Tanzania Watoto wa siku hizi hawajui kabisa enzi zetu uliweza kuchapwa kwa sababu zifuatazo...

    Ukipigwa unalia eti unapigwa unyamaze...izi tamaduni bana kusema ukweli sijui tumerithi kutoka wapi
  9. haryzota

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitamwambiaje Mke wangu mimi ni 'Atheist'?

    Ndugu wala huwezi kuwa harsh hata kidogo ni swala la kumueleza tu kua huamini katika hizo dini akaelewa na maisha yakaendelea !Alafu kwani usipoamini ndio mwisho sa maisha yako ndugu.....Sema sasa wafia dini watakupinga sana kana kwamba ndio walileta hizi dini
  10. haryzota

    JamiiForums Tanzania Mzee anayedai Medie Kagere ni mtoto wake ajitokeza Dar es Salaam, aomba kukutanishwa naye

    Njaa kali sana......Au nasema uwongo ndugu zangu
  11. haryzota

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

    Rip Rose Nyerere...Sisi tunakutakia mapumziko mema
  12. haryzota

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

    Bufa kaka ntakukumbusha baada ya Gudiola kubeba uefa
Back
Top Bottom