Recent content by Hary Jay

  1. Hary Jay

    Ma Ex wengi hufurahia ex wao wanapoharibikiwa kwenye uhusiano mpya (ndoa)

    Neno la mbolea hili [emoji123][emoji123][emoji123]
  2. Hary Jay

    Washauri wa Rais Magufuli walimpotosha, kumbe nahodha wa MV Nyerere hakuwa ‘deiwaka’

    Hii ya kwann manahodha huwa wanakufa wana sababu otherwise iwe ni technical fault, lkn kama anajua ni human error mara nyingi ni huwa wana sacrifice
  3. Hary Jay

    TCRA kama mnashindwa majukumu yenu,NATAFUTA KWA KUWASHITAKi

    Uliwapa dawa gani mkuu, tushirikishane
  4. Hary Jay

    Mwenye hili gari anaibiwa mafuta hapa Arusha

    hayo mafuta sio kwamba wanaiba, bali gari ndo linamuibia mmiliki wake, issue iko hivi kila gari ina tech specs ya kuwa inatumia mafuta kiasi gani per km (ikiwa na mzigo au ikiwa tupu) anachofanya tajiri ni kujaza mafuta per km to be travelled na reserve kidogo km 20litres...kinachotokea ni kuwa...
  5. Hary Jay

    Hili Tatizo la kuweka "L" badala ya "R" katika uandishi ni Janga la Kitaifa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kama mazuri, mtu anaandika x badala ya s
  6. Hary Jay

    Barabara za Dar ni Machinjio Usiku

    Mwezi wa tano nilikuwa Dodoma ule mji madereva wako smart sana nafikiri miji mingine wanaweza kujifunza pale, nilipanda boda boda mara mbili saa tano usiku lkn kipichonishangaza walikuwa wanaheshimu traffic lights na Pedestrian crossing yaani wanasimama na kusubiri hata km hakuna watumiaji...
  7. Hary Jay

    Kwanini DJs hupiga nyimbo za kizamani kwa muda mrefu?

    Hili ndio jibu, na hata wale mnalalamika nyimbo mnazoomba kwenye radio hazichezwi ni kwa sababu hii pia, DJ anapoanza set yake huwa ana Playlist iliyokamilika kama ataruhusu requests ni km kukushirikisha tu lkn sio lazima apangue Playlist yake afuate yako Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Hary Jay

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    certificate of appreciation
  9. Hary Jay

    Maprodyuza wangu wa muda wote hapa bongo

    ustadh juma naye ni producer????????? duuh muziki umkua
  10. Hary Jay

    Tembea Uone

    kweli mkuu kiingereza kiiiingi lakni unaelewa :-D :-D nakumbuka kuna safu katika gazeti la The Citizen inaitwa TRUST SIGN WRITERS inazungumzia mambo kama haya
  11. Hary Jay

    Siku ya 5 tangu nimeomba namba yake amenitumia ujumbe huu

    Hahhaaa Duuh mkuu una machooo
Back
Top Bottom