Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Hoja ni filamu za nje hazilipiwi kodi while za hapa nyumbani zinalipiwaHahaha...hivi huyo jamaa hoja ilikuwa pirates au zuio la kibashibashi tu?
Hilo Zuio la kazi Nje halitaisha bwana kiurahisi hivi. Kwanza ni watazamaji wangapi wenye uwezo wa kununua series zilizolipiwa kodi hata zaidi ya mbili .wenyewe nje wanajua pirates wapo ndiyo maana movie ikitoka tu wanaanza kutengeneza pesa haraka.Hoja ni filamu za nje hazilipiwi kodi while za hapa nyumbani zinalipiwa
Hii inapelekea za hapa nyumbani kuwa na bei ghali sokoni ukilinganisha na za nje
Hata la uhalamia pia alilizungumzia hasa wale wana rudufu kazi za ndani na kutafasiri zile za nje
yahNi mzuri saana.
HahhaaAlafu atokee Mpuuzi mmoja azuie muziki kutoka nje (Kwa sauti ya nnauye)
asa mbona unatoboa siri zangu kaka..nikaushie kidogoUlipokuwa unakula karo ukin'gata andazi unachekeleaaa
We sio wa mchezo, naona mtaji wako umeuhifadhi moyoni sio mfukoniTehteh..
Mimi nawapenda tu bwana. viteknik nimezaliwa navyo tu hivi
Daby umenikumbusha Tupac's Keep ya Head Up, alivyogusia kuhusu single moms.
Tupac-Keep Ya Head Up w/LYRICS:
.."And I ain't tryin' to gas ya up, I just call em how I see em
You know it makes me unhappy (what's that)..
When brothas make babies, and leave a young mother to be a pappy..
And since we all came from a woman,
Got our name from a woman ,
and our game from a woman,
I wonder why we take from our women,
Why we rape our women, do we hate our women?
Time to heal our women, be real to our women,..
And if we don't we'll have a race of babies
That will hate the ladies, that make the babies..
I know you're fed up ladies, but keep your head up"..
Yeah nalikumbuka. kuna hii track pia ya Clint black (The Strong One) itafute aseeh