MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,090
- 15,024
Ni kweli kabisa..... kuna madereva wanajua kucheza na pedal sawasawa, ndio posho zake.Watu wengine bwana ni sumu!!mimi nilidhania labda ni gari la serikali kuwa ni kodi zetu,sasa mtu binafsi je kama posho za safari wanazopewa hazikidhi!!na kwa magari hayo makubwa mtu anapewa mafuta kulingana na umbali wa safari yake!!madam aende na kurudi?!!je kama mwenyewe anajua jinsi ya kuendesha na kubana mafuta tatizo liko wapi??