Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 75,227
- 157,425
Ndo mana mkulu hataki kwenda kwa malkia
Huku si karibu na kwa mkuu?english ugoko sasa si bora tu wangeandika kiswahili
Wahaya utawaweza wewe??Huku si karibu na kwa mkuu?english ugoko sasa si bora tu wangeandika kiswahili
mkuu hivi gilesi yupo wapi siku hiziWahaya utawaweza wewe??
JF.mkuu hivi gilesi yupo wapi siku hizi
Mkuu ngoja nitafute kamusi nitarudi.
kweli mkuu kiingereza kiiiingi lakni unaelewa :-D :-DIla inaeleweka, kwa mtu anayejua english anapata ujumbe kabisa
Nzali na zambe ya mobimbaaTambola na mokili omona makambo!
Naona Mkuu hutaki kuwa mchochezi!!Wahaya utawaweza wewe??