Barabara za Dar ni Machinjio Usiku

Barabara za Dar ni Machinjio Usiku

Barabara zote ziwekwe taa na ziwe zinawaka na kufungwa camera ambazo control inakuwa Polisi Hq then wale wote wanaofanya makosa magari yao yanakamatwa na kupiga fani kubwa sana.

Na waliosababisha vifo na majeru ni mahakani.

Itakuwa soma kwa watuamiajiaji magari usiku au bodaboda
Tatizo wanafunga taa za Solar ikifika usiku zinawaka mwanga wa njano tu. Inahitaji umakini sana kuvuka taa nyakati za usiku.
 
Hata taa za barabarani tu mgogoro last time I was in Dar.
 
Pombe pombe zina mchango mkubwa. Utakuta mpaka saa tisa za usiku kuna Watu wanatoka club wakiendesha
 
Ukiwa kama mwanadsm na Mtanzania unayependa maslahi ya nchi yako unashauri nini kifanyike kutatua tatizo hili?
Police waweke DUI check points kila ijumaa na jumamosi usiku katika barabara zote kubwa
Tatizo litaisha
 
Hii Bagamoyo road hasa kipande cha Mbuyuni kwenda Tegeta na kipande cha Tangi Bovu Afrikana watu wanakuwa kwenye racing hasa kuanzia usiku wa saa 4, hawa wanaotoka Ubungo na Airport wanarudi makwao wamechoka. Jana kanipita jamaa na spidi kama kaiba gari nikamkuta mataa ya Afrikana kumcheki mtu mwenyewe mhenga dah! nikamhurumia tu,tuchukue tahadhari
 
Ukiwa kama mwanadsm na Mtanzania unayependa maslahi ya nchi yako unashauri nini kifanyike kutatua tatizo hili?
Dah... Ajali nyingi zinasabishwa na ulevi...Dawa yake ni kupiga marufuku matumizi ya vyombo vya moto baada ya saa2 usiku...baiskeli na guta tu ziwepo barabarani
 
Hii Bagamoyo road hasa kipande cha Mbuyuni kwenda Tegeta na kipande cha Tangi Bovu Afrikana watu wanakuwa kwenye racing hasa kuanzia usiku wa saa 4, hawa wanaotoka Ubungo na Airport wanarudi makwao wamechoka. Jana kanipita jamaa na spidi kama kaiba gari nikamkuta mataa ya Afrikana kumcheki mtu mwenyewe mhenga dah! nikamhurumia tu,tuchukue tahadhari

Una maana gani mkuu hapa ndo kusema alikuwa tiyari ashatangulia mbele ya haki ama.....?
 
Una maana gani mkuu hapa ndo kusema alikuwa tiyari ashatangulia mbele ya haki ama.....?
alikuwa mwendo kinoma zaidi ya 150 kwa makadirio sasa mwendo wote huo wa nini tena usiku imagine lolote likitokea anajiteteaje.
 
Hivi wale team subaru na team altezza wameshaacha yale mashindano yao ya usiku?
 
Vijana wa DSM wanaotumia vyombo vya moto ni watumiaji wa HOVYO sana wa barabara nyakati zote tu. Sasa usiku ukichanganya na balimi + hakuna askari ndio mtu anaendesha utafikiri yupo Somalia kusiko na sheria. Tunahitaji elimu na kutii sheria iwe UTAMADUNI. Wengi wanadhani kutii sheria ni kwa ajili ya kuwaridhisha askari barabarani pekee.
Nimeipenda hii ukweli
 
Ni kweli. Jumamosi usiku nikiwa zangu mitaa ya sinza kuna jamaa kidogo anitangulize mbele za haki. Jamaa alikuwa na kivitz chake anatokea kule La Chaaz. We jamaa wa kivitz cha kijivu kama unasoma hapa pokea p.u.m.b.a.vu zako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha kumbe ni wewe pole sana uwe makini
Nilikuwa nawahi pale basement hahahahaha
 
Mwezi wa tano nilikuwa Dodoma ule mji madereva wako smart sana nafikiri miji mingine wanaweza kujifunza pale, nilipanda boda boda mara mbili saa tano usiku lkn kipichonishangaza walikuwa wanaheshimu traffic lights na Pedestrian crossing yaani wanasimama na kusubiri hata km hakuna watumiaji wengine wa barabara lkn traffic lights ndizo ziliwaongoza
 
Back
Top Bottom