Siku ya 5 tangu nimeomba namba yake amenitumia ujumbe huu

View attachment 461826
Nilikutana nae barabarani nikavutiwa nikaomba namba nikawa katika process za moja ya mbinu zangu za law of attraction (am not in needy sana nilijifanya), nimechoka sana asubuhi nilikutana na huu ujumbe,nimeishiwa pose kiukweli
Sasa situation kama hii wataalamu wenzangu ulipowahi kukutana nayo ulii solve vipi
Unaona ni Wale wale kama nilivyokunong'oneza geniveros
 
View attachment 461826
Nilikutana nae barabarani nikavutiwa nikaomba namba nikawa katika process za moja ya mbinu zangu za law of attraction (am not in needy sana nilijifanya), nimechoka sana asubuhi nilikutana na huu ujumbe,nimeishiwa pose kiukweli
Sasa situation kama hii wataalamu wenzangu ulipowahi kukutana nayo ulii solve vipi
kumbe tuko wengi wenye njia hii...

ntamwambia baada ya kuchukua namba yako nilipigiwa kabla sijaisevu kwa hiyo bahati mbaya nikawa nimeipoteza ila nilikuwa nakumbuka namba mbili toka mwisho ...kwa hiyo nashukuru MUNGU kakumbusha na kukuongoza unitafute ili ujue nia yangu kwako..

hapa sasa akituma sms nitakayo mjibu mimi lazima aseme aya nakupenda....

NOTE: kama hukuumpa simu yako akuandikie namba maana wanaume tuna tabu sana ukiwa na iphone imesha chaji katika safari zako lakini una ki-nokia cha torch mpaka utoe na iphone ili ajigonge mtoto wa watu kumbe ungeweza tu kutajiwa namba kumeza kichwani.
 
Acha uongo hapo juu kuna ka mstari ka blue kanachoonesha ulimtumia message...
 
View attachment 461826
Nilikutana nae barabarani nikavutiwa nikaomba namba nikawa katika process za moja ya mbinu zangu za law of attraction (am not in needy sana nilijifanya), nimechoka sana asubuhi nilikutana na huu ujumbe,nimeishiwa pose kiukweli
Sasa situation kama hii wataalamu wenzangu ulipowahi kukutana nayo ulii solve vipi
,na wewe law of attraction ya nini zama hizi
 
Ukitazama kwa makini hapo kwenye meseji juu wewe mwekundu ulimtumia sms yaani kabla ya tarehe 17 na huyu mdada nae kakujibu tarehe 17 kisha ukamjibu tarehe 18!!. mwekundu, unataka kutudanganya a ndio umedhamiria kutudanganya?. ACHA UNAFIKI
 
Dah kweli ww chiz kumbe ulisha chati nae kitambu but ukamtongoza akakutolea nje na ukajidai unamtania ndio maana akakujibu kwan ww namba yangu ulichukua ya nn?
pole yako :D:D:D:D
 
we choka tu lakini kutongozwa sunaaa.. maneno yale matamu ya uongo uongo
Haaahaaa zamani mwanamke anaomba muda wa kuifikilia proposal lakini sasa hivi zamu yetu wanaume kuomba muda wa kufikiria na kuomba ushauri, hatari lol
 
Kama ulizoea kuvua kwa nyavu sasa tumia baruti na badili bahari eneo la uvuvi. Huna haja ya kungangana na kuvua ngisi ilihali pweza wapo.
 
Back
Top Bottom