Recent content by hapyepye

  1. hapyepye

    Malaysia airplane: Utabiri wa Prophet TB JOSHUA WATIMIA

    Hahahahah Kweli farao noma (dhiki)huleta watu Kwa Mungu kama si jeshi nyuma wanaisrael wasingevuka bahari ya sham maybe wangemgomea musa ilaa walivyoona jeshi lafarao linakaribia walivuka Wenyewe
  2. hapyepye

    Ana mapenzi kweli huyu au anataka kulelewa tu!

    Woiii kimbiaaaaa hamuachi huyo demu wakeng'oooo
  3. hapyepye

    Kwa nini Umseme Vibaya EX wako?

    Wanakua kama wanataka kujisafisha mbele za watu
  4. hapyepye

    Late Sedekia kumbe alichukuliwa kimzimu

    Najiuliza sedekia hakua mtumishi au alikua?kama alikua mtumish wa mungu na anaroho mtakatifu anawezaje kuchukuliwa kuzimu?basi nae hakua na mungu pili hatuna uthibitisho na yasemwayo na kama mungu ameruhusu basi sawa maana alikua na uwezo wa kuzuia
  5. hapyepye

    Mott Mcdonalds wapo vipi hawa jamaa?

    Wadau..nimeitwa kwenye interview na hawa jamaa wa Mott Mc Donald....kama operation support assistant. Kwa mwenye info kuhusu hawa jamaa...anifahamishe na ofisi zao kwa hapa dar zipo wapi. Natanguliza shukrani.
  6. hapyepye

    Mushi wa Ufoo ndio " godoro-la-comfy"

    Hachelewi kutokea mwingine akajifanya bwana mushi kafufuka humu majanga matupu
  7. hapyepye

    Wanawake wa kitanzania sijui mkoje yani....mnaboa sana

    Nyie ndo wale mnaenda na simu mpaka kunya kisa luck of security wanawake tunajiamini ndomana tupo huru na simu zetu kuiweka. Popote wanaume wengi simu zenu zimewageuza watumwa hamna amani majumbani kwenu
  8. hapyepye

    PCCB na vyeti vya darasa la saba

    Mi nilirukishwa darasa itakuaje sasa
  9. hapyepye

    Namshangaa simuelewi huyu mwanaume

    Huyo sio muoaji bali mtangatangaji huyo anapepo inabidi aombewe au kuna kitu anataka kuoka kwako then asepe zake taraatibuuu kwa mkewe na watoto utabaki umetoa macho but all in all hatusemei moyo mungu ndo anajua
  10. hapyepye

    Ni wakati wa hedhi ama?

    Hahahaha halooooo mnanipa raha nyie
  11. hapyepye

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Wataalamu saidia hapa
Back
Top Bottom