Kwa nini Umseme Vibaya EX wako?

Kwa nini Umseme Vibaya EX wako?

mkuu Tyta naona umekuwa mzee wa kutupiamo mapicha. kazi kwao team weka picha
Anasidia sana huyu mdau naona demand za kutaka picha zinapungua maana anawawekea hata wasipohitaj
 
@Eli79 wengine wanapenda sana kusema tena kwa kubwatuka,.... siwasemi vibaya watoto wa kike ila wengi wao hufanya hivyo though hata wanaume japo si sana.

Sio kweli wote huwasema x wao vibaya haijalishi ni mwanamke au mwanaume, cku zote mtu hupenda kuonekana mwema hata kama yeye ni mbaya
tubadilike tu wote!
 
mnafikiaje kuwa ma-X kama hamsemani vibaya?
 
Mi nadhani ni katika kujipongeza kwa kuacha kwamba anayetoa siri hakufanya kosa kuacha!!!
 
Nimekua nikiona na kusikia watu wakiwasema vibaya wapenzi wao wa zamani, na hata wakati mwingine kutoa hata siri za ndani ambazo hazipaswi kuelezwa kwa watu wengine.
Unaweza kuta labda ye ndio kaachwa , au kaacha haijalishi!.
Je ni kushindwa kuhimili maumivu?, au ndio siku zote lazima apatikane wa kulaumiwa.

Swali kwako mwana JF, kwa nini Utoe siri za Mpenzi wako wa zamani.
Kwa nini Umseme kwa Mabaya tuu ?.


Karibuni.

Ukiona mtu anafanya haya jua huyo hajakua

Aliyekua husamehe na kwenda mbele hata kama alitendwa namna ganiA
najua kuwa ile ni shule na amejifunza jambo.....!!!!!
 
Lakini mzabzab hizo hasira na kuwaambia watu siri zake za ndani zinahusiana nini?
Nakubali ndio inauma sana.

hahah wee bwana hawa wanawake wanakuwaga na nyodo sana wakikubwaga...utasikia oh mwanaume gani wewe....yaani mie nilikuwa nakuvuachupi leo wakuniambia mwanaume gani...loh! lazima nimchambe
 
Last edited by a moderator:
mi kwa kweli nisiseme uongo!!

x wangu huwa namsema kabisaaaaaa!!!!!!!

ila kwa mazuri tu! nilishamjengea nyumba, nikamnunulia gari tatu za kutembelea nje na ndani,

wazazi wake nikawajengea japo nyumba ndogo si haba, nikawapa mtaji wa biashara, kila wiki anapata safari za dubai na oman kufanya shopping za duka lake la nguo za kike,nimemjengea ofisi yake ya filamu, mshahara wangu anaupokea yeye.. na mambo mengine meengi mazuri!!..

....by.. clement, to sepetunga!!!!

Clement karibu nikufungulie moyo wangu unifadhili ma mie
 
maumivuuuuuu..! sababu kubwa ni uchungu na maumivu ambayo kila upande unayo.
 
hahah wee bwana hawa wanawake wanakuwaga na nyodo sana wakikubwaga...utasikia oh mwanaume gani wewe....yaani mie nilikuwa nakuvuachupi leo wakuniambia mwanaume gani...loh! lazima nimchambe

Sa mkichambana wats next??kama mmeachana achaneni kwa amani no need kukaa na kuanza kusutana its just so unreasonable...mi nikiachana na mtu naongea nae kama hataki achape lapa no need its just we are not ment for that
 
Sa mkichambana wats next??kama mmeachana achaneni kwa amani no need kukaa na kuanza kusutana its just so unreasonable...mi nikiachana na mtu naongea nae kama hataki achape lapa no need its just we are not ment for that

tbata very sensible of u...ila sasa wajua it all comes down to has invested most...nd usually the last to give up ni yule aliye invest more ndio maana anaishia kusema hovyo inauma its some kind of cathorsis.
 
Back
Top Bottom