Namshangaa simuelewi huyu mwanaume

Namshangaa simuelewi huyu mwanaume

Amemzalimsha mwanamke na mali kamlipia. Sasa hv anadai amtaki kwa sababu zisizo na kichwa wala mguu eti ananipenda mimi anataka tufanye maisha anioe licha ya hivyo.

Bado anawivu lukuki kwa huyo mama watoto wake kila kitu anampangia kufanya na mawasiliano yasioisha mwemwemwe mbona kama naibiwa mbona kama narubuniwa mie mbona kama nadanganywa au anataka kunitumia?kwa manufaa flani?

Wanajamvi saidia mimi niko dilema
ushauri wa bure, inawezekana hiyo ndio tabia yake huyo. Unajuaje kama hatakufanyia kama alivo mfanyia huyo mwanamke aliyetangulia, utapata maumivu ya moyo maana ukweli ni kwamba yeye hamuachi huyo aliyezaa nae wataendelea tu. Ya nini kujiweka ktk mazingira ya hivyo, wanaume ambao wamezaa sio wa kuaminika mana wataendelea na mahusiano kwa kisingizio cha mtoto.
Usijiingize Mzima mzima utaumia sana Baadae, narudia wanaume si wakuaminiwa akimaliza haha zake atakugeuka ghafla
 
Hivi kweli tumefikia hapa? unajua kabisa mtu ana mke na watoto anawatelekeza! unataka kweli kujiunga kuwanyanyasa watoto wa watu na Mama yao? ni kwamba hakuna wanaume wa kuoa au? tafakari, chukua hatua haki elimu
 
kwani wanawake ndo wanaaminika?
 
Hivi kweli tumefikia hapa? unajua kabisa mtu ana mke na watoto anawatelekeza! unataka kweli kujiunga kuwanyanyasa watoto wa watu na Mama yao? ni kwamba hakuna wanaume wa kuoa au? tafakari, chukua hatua haki elimu

Kweli tena hilo suala siyo la kujifikiria nilakutoa jibu la kumkataa moja kwa moja
 
Huyo sio muoaji bali mtangatangaji huyo anapepo inabidi aombewe au kuna kitu anataka kuoka kwako then asepe zake taraatibuuu kwa mkewe na watoto utabaki umetoa macho but all in all hatusemei moyo mungu ndo anajua
 
kweli wewe matatzo..knachokugandsha kwake nini sasa? Hunadhamani yoyote kwake ila unakuwa luba. Kwanini??
 
Heeee......makubwa....sa hapo unadanganywa Au unajidanganya?...mpe tu akugegede ila sio vingine
 
Ukiwa na bahati utakuwa second wife au nyumba ndogo...ukiwa na nuksi huwezi kuwa any of the two.

Kwa ufupi huyo ni mkewe ameshatoa mahari na wana watoto...au ulitaka mpaka waende kanisani/msikitini...

Unazijua aina za ndoa Tz (Africa)...kuna ndoa za kimila ambazo mahari tu inatosha...huyo ni mkewe tu
 
Ndo alivyo saaa! Haeleweki. Xhagua kusuka ama kunyoa manake na weww hujielewi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom