Jinsi ya kutafuta kama umepangiwa chuo gani yaan post zimetoka kwa wale waliofaulu ups hajapata nafas za form5 sasa jinsi ya kuangalia nichuo gani amepangiwa nimeshindwa kutafuta
Kwanza kabisa lishe ya mtoto inategemea na umri kuanzia miez6 mpaka8 au9 ni vzr kumpikia nafaka moja kila wiki ili hata kuna yenye aleji kwake ujue ,
Halafu kama utachanganya nafaka zisizid japo kila nafaka ina kaz yake
Kwanin asimnyonyeshe miez 6 jaman mkamjengea immunity ya kutosha na hata kama anaenda kazin si akamue tena rahis kweli muhimu mama ale vizr tu haya maziwa ya kopo hasa lactogen sio mazur kabisa na mengi feki labda s26 ndo mazur na yenyewe ni expensive hata kama mnauwezo maziwa ya mama ni muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.