Ni aibu ama inakuaje?

Ni aibu ama inakuaje?

Ukipishana na Mama yako au mama mdogo anabadilika?
 
Watu kwa kutaka sifa ni hatareeeee..... uckute una sura ngumu, ya kibaka mwizi au jini
 
Watakuwa wanakuona ni wa jinsia yao ila wanashangaa mbona umevaa kiume?
 
Labda umerithi kitu ambacho hukijui sababu hukioni

mimi nilipoanza secondary nilikuwa nashangaa nateuliwa kuwa kiranja
hata kama sitaki.......baadae nikaenda kuuliza uliza home nikaambiwa
babu yangu alikuwa kiongozi kuanzia shuleni hadi ukubwani kwenye serikali

so labda nilikuwa nimerithi kitu ambacho wengine wanakiona huku mimi mwenyewe sikioni...

kuna ulimwengu wa spirits....kina Kaunga na MziziMkavu wanaweza kukuambia..

unaweza kuwa umerithi kitu ambacho watu wengine wanakiona we hukioni..uliza vizuri kwenu

kuwa handsome sio sababu...kabisa.....kuna kitu
labda 'some hidden power'

Ndio Maana Hata Mimi Nashangaa Mkuu, Kwani Hata Marafiki Zangu Wao Wanawake Wanapokutana Nao Aiwi Hivi, Kipindi Nakaa Kwetu Niliwah Kumuuliza Mama Hili Swala Akanijibu Kuwa Mimi Mzuri Japo Nilichukulia Kma Matani Ya Mama Na Mtt Alafu Pia Sikuamin Kma Hiyo Ndoio Sabb Coz Kuna Wengine Wazur Tuuu Lakin Hali Hii Aiwatokei Kma Mimi, Hapa Kidogo Naweza Kubaliana Na Ww Kuhusu Some Hiden Power Mimi Naona Si Kawaida Yaan Hata Wanawake Walio Ndan Ya Ndoa??????
 
Last edited by a moderator:
Ni Muda Sasa Hali Hii Imekua Ikinishangaza, Yaani Ipo Hivi; Mimi Popote Niwapo, Ikitokea Nimekutana Na Mwanamke Ni Lazima Atabadilika!!! Mfano, Napita Sehemu Na Kuna Mwanamke Anakuja Tupishane, Basi Akiniona Tuu, Atabadilika!! Wengine Uangalia Chini Mpka Tunapopishana, Wengine Ujiweka Sawa Mavazi, Wengine Ujikagua Mwili. Hayo Yote Hufanyika Pale Napokutana Popote Na Mwanamke, Mara Ya Kwanza Nilidhani Ni Aibu Za Wanawake, Lakin Cha Kunishangaza Ni Mpka Watu Wazima Walio Pevuka Ambao Auwezi Kutegemea Ya Kwamba Watakua Na Aibu!! Hali Hii Imekua Ikinitokea Sanaaa Napokutana Na Mwanamke Yaan Tunapopishana Njiani, Kuna Wale Ambao Siwafahamu Kabisaa Yaan Kila Mtu Na Hamsin Zake Na Kuna Ambao Nawafahamu Wote Wapo Hivyo Hivyo, Je Hali Hii Ni Nini Sabbu Yake?? Yaan Ni Kma Kila Mwanamke Naepishana Nae Popote, Anakua Kma Amepoteza Kujiamini Hivi, Hivi Hii Inaweza Kuwa Ni Aibu Kweli?? Je Aibu Hii Ni Hata Kwa Mtu Asiekuhusu Unaepishana Nae Tuu??

kapicha nikupe sababu
 
siku ukikutana na binti akafanya tofauti na ulichokisema, fanya unaloweza kuwa nae kwenye mahusiano, atakufaa daima.
 
جاسطجم سذوجد دفوجطصدفمم فس سرج ومدأجفط موجدجامفسس دصو طجدفو ساجف سفجاطمسدج سفط سدج ط٦٥١٠٦٥٢halafu utaniambia mkubwa!
 
جاسطجم سذوجد دفوجطصدفمم فس سرج ومدأجفط موجدجامفسس دصو طجدفو ساجف سفجاطمسدج سفط سدج ط٦٥١٠٦٥٢halafu utaniambia mkubwa!
Iseee.....Hatari Sana!!!! Inawezekana Kweli Mkuu??
 
Mi niko nje ya mada jinsi ya kuangalia kama umepangiwa chuo au shule gani siwez nisaidien anaejua nimtajie jina aniangaluzie plz
 
Back
Top Bottom