youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
- Thread starter
- #81
Sio wote wanaokupigia makofi wanakupongeza,
Wengine wanataka umalize haraka!
Aliyekwambia mwanamke akifika kilele anapiga kelele ni nani?
Ama ni zile muvi za wamarekani?
Upuuzi mtupu,,,,
She's faking her orgasm
Or maybe she's in pain!
Mwanamke akifika kilele hata nguvu ya kutoa sauti uwa imemwisha kabisa!
Anaweza kukaa kama amezimia kwa dakika kama 2 hivi.
Take it from an expert.
aisee labda wa kwako tu, lakin asilimia kubwa huwa lazima kuna kitu akifanye akianza kufika kileleni, mwingine anaweza akakushika akakung'ang'ania kabisa ata ukitaka kutoka huwezi.