Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
Nina mtoto wa ndugu yangu ambaye nilitegemea atachaguliwa kujiunga na shule za serikali lakini imekuwa sivyo, sasa naomba kujulishwa kuwa ni wapi naweza pata shule ya secondary ya kulipia, na taratibu za kujiunga inakuwaje si mbaya nikipata hata contact adress/mobile za shule husika, ningependelea zaidi shule iwe ya Boarding tafadhalini msaada wenu ni muhimu